Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sama boy 255 oyaaaa mbilikimo, Nairobi has more than 5 malls under construction na hata hatuko bothered.

Image


Image



No photo description available.

Image
As usual vitu vya kupendezesha macho lakini kwa ground economy inajinyea.
 
Tanzania huwa hatuna vipaumbele na estates. Watu wana nyumba zao.

Hapo Kenya hizonfew estates za Wasomali.

Hivi Kenya mnaweza nini?

Wasomali, Eritreans, Wazungu, Chinese, ndio wanawajengea nchi.

Na sasa mnataka black Americans. So desperate

Sawa endelea kuamini foreigners ndio wanaishi vizuri hii Nairobi. 😄
 
Unaambiwa Busia county alone has over 6K Jigger ingested patients. You wonder how comes 2025 we still have mankind busy talking about jiggers .
Mtu ni fukara Hadi ana mafunza miguuni na mikononi
Apparently English language isn't helping them.

View: https://youtu.be/Dd7LpSoxbg0?si=zWWsMwLjrgaOBkvl

Kenya wameshakariri, Nairobi.

Kila kitu wanaweka Nairobi.

Kisehemu kidogo, na watu wachache kuliko Dar ila kina foleni mpaka wakaleta Mchina ajenge flyover
 
Unaleta habari mbili tofauti from different times then unajaribu kuzishikanisha ili udanganye watu. The link ni wakati the Kenyan currency was very low against the dollar at 150. Unashare articles ambazo hata hujasoma. Enyewe unaweza kua mzee na ukue mjinga at the same time.
Huyo ni CBK governor ama hapana? How did that currency stabilize? Mli-export nn meaningful?
 
Back
Top Bottom