Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Aliyekopa na kupika data alikuwa ni watigray au serikali hii ya Abiy?Kwanza Ethiopia ina watu zaidi milioni 150.
Ethiopia alikopa sana kibishi, ajajenga Bwawa kubwa sana la umeme (GERD).
Akajenga reli SGR (light rail) ndani ya Addis Ababa, akaipeleka mpaka Djibouti, kwenye bandari, maana Ethiopia hawana bandari.
Akawa anapika sana Data, na yeye ana thamani ya sarafu yake (Birr) akaiweka juu.
Alikuwa na GDP kubwa kuliko Kenya.
Juzi hapa IMF wamewaambia washushe thamani ya sarafu. Walileta ubishi ila wameshusha.
Naona umekosa comeback. 🤣 🤣Jamaa anajielezea sana huyu 🤣🤣🤣🤣 kubali kushindwa tulia.
Wakopaji ni Watigray, ila Abiy anapika data.Aliokopa na kupika data walikuwa ni watigray au serekali hii ya Abiy?
Nimepata picha hapa, kwa nini watigray wanapendwa sana na "the globalist", hata wakapewa ukatibu mkuu WHO. Inanipa ukakas zaidi, Janabi kupigiwa chepuo kwenda WHO na Kikwete kwa Traore, hii ni kama cover tuu. Mungu amlinde yule Kijana kwa kweli.Wakopaji ni Watigray, ila Abiy anapika data.
Nadhani alitafuta namna ya kukopesheka, baada ya Debt to GDP ratio kuwa kubwa sana
Huyu mzee katutenda sana kama taifa kwa yule mtu wetu. Naamini alikuwa kiuongo.Nimepata picha hapa, kwa nini watigray wanapendwa sana na "the globalist", hata wakapewa ukatibu mkuu WHO. Inanipa ukakas zaidi, Janabi kupigiwa chepuo huko, huku wakienda na Kikwete kwa Traore kumpigia chapuo, kama cover. Mungu mlinde yule Kijana kwa kweli.
Katika ile video alipokwenda Burkina Faso, kuna watanzania walianza ku dog whistle kwa wa Burkinabe wakisema muangalieni huyo jamaa, msimuamini sana.Huyu mzee katutenda sana kama taifa kwa yule mtu wetu. Naamini alikuwa kiuongo.
Pipeline is better than most of your estates.Pipeline 2.0
Wewe hupenda kuhara tu maneno, hivyo tu ndio umeropokwa leo eti IMF iliambia Kenya to devalue the shilling. Endelea kueneza uongo kwa bongolala wenzako.
Si umesema bodaboda contributes more than manufacturing, ama hujui kusoma pie chart? Heshimu miaka yako we mzee.
🤣🤣🤣😂Si umesema bodaboda contributes more than manufacturing, ama hujui kusoma pie chart? Heshimu miaka yako we mzee.
Of course nimeokota picha Google. Kama tu ile ya Dhaka Bangladesh 🤣picha ya mwaka gani au hii au hasira zimekutuma ukaokote picha google kama kawaida yako 😂😂😂😂😂
What's your point exactly kijana wa Tandale?Hii itakuwa Morogoro kuelekea kwenye mashamba ya mpunga.
Bit, at least excavator zimelima
This 🤣🤣🤣 Safari ya siku 3 ju ya barabara mbovu.
View: https://x.com/Adventure_36/status/1747562365283954984?t=mKHwPe-8LYb8xh_1irBJ9A&s=19