ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
View: https://vm.tiktok.com/ZNdMyj8Kq/ hii ndio buyeye,safi sana,kundudwellers wakiwaona wazungu wanafuata tamaduni za kitanzania,mavi yanawabana
like you always do against Tanzania.That account is a Tanzanian account. Probably ni huyo Venus Star who just created that video to throw shade at Kenya. It's just stupid and a desperate move.
Wamengangania currency kama roho wakikubali tuu kwisha kazi, debt to GDP ratio will shoot over the roof like a rocket, uwezo wa kukopa utapungua na kichaka cha jidipiii na LMIC kitafyekelewa mbali. waache wanganganie artificial growth sisi tukae na popcorn na soda tuu muda sio mrefu tutaona makanjanja yao yote hadharani.Wameambiwa wafanye currency devaluation!
Ukiona wanasema wame-give up kukopa IMF wakati ambao wako too desperate sana na mikopo, ujue ni kweli IMF wamewapa ukweli mchungu.Wamengangania currency kama roho wakikubali tuu kwisha kazi, debt to GDP ratio will shoot over the roof like a rocket, uwezo wa kukopa utapungua na kichaka cha jidipiii na LMIC kitafyekelewa mbali. waache wanganganie artificial growth sisi tukae na popcorn na soda tuu muda sio mrefu tutaona makanjanja yao yote hadharani.
Hawa nyangau wako very weak kwenye masuala ya regulatory mechanism. Ndio maana vitu vyao vingi ni substandard.Uncontroled Capitalism is CRUEL.
Kama kuna watu kwasababu ya uwezo wao wa pesa wanaweza kufanya chochote, sasa kuna serikali za kazi gani??
Nimepita leo asubuhi naona ndani wanaendelea na final touches all lights were on.Mzigo tayari wakuu. View attachment 3331701View attachment 3331703Nyuma ya hii kunayo karakana ya BRT. Mambo ni moto moto. 🔥🔥🔥
Hawafanyi regulation. Serikali inakusanya kodi tu.Hawa nyangau wako very weak kwenye masuala ya regulatory mechanism. Ndio maana vitu vyao vingi ni substandard.
shida viongozi wao wanafanya biashara zao humohumo ndio maana hawataki regulation ili wa maximize profit na hongo they really dont care about the common mwananchi. somehow naona sisi katika vitu vingine vya kudai haki yetu tuko mbele sana kuzidi wao ila kwenye siasa tuu ndio tunafeli. kiongozi wa TZ hawezi fanya madudu ya uchumi kama wanavyofanya viongozi wa Kenya.Hawafanyi regulation. Serikali inakusanya kodi tu.
Masikini Kenya hana wa kumtetea.
Wanasema ndio capitalism
Kenya ni Kampuni ya wahuni.shida viongozi wao wanafanya biashara zao humohumo ndio maana hawataki regulation ili wa maximize profit na hongo they really dont care about the common mwananchi. somehow naona sisi katika vitu vingine vya kudai haki yetu tuko mbele sana kuzidi wao ila kwenye siasa tuu ndio tunafeli. kiongozi wa TZ hawezi fanya madudu ya uchumi kama wanavyofanya viongozi wa Kenya.
Hii ni nchi ya watu wana hela zao. Ingekuwa ni huko kwenu ndio fares zingeongezwa sgr ingekuwa inapumulia pipesFew passengers, more revenue.
Reason, you increased fares.