ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
isiporudi miaka inaongezeka kutoka 30 yrs to 45 yrs 😂😂😂😂Pesa ya Mchina itarudi kweli, lwa hali hii😅😅
isiporudi miaka inaongezeka kutoka 30 yrs to 45 yrs 😂😂😂😂Pesa ya Mchina itarudi kweli, lwa hali hii😅😅
Hizi sio data za kupikwa leo? 😂😂
Kwa hali hii, Kenya itageuka kuwa nchi ya kukodiisiporudi miaka inaongezeka kutoka 30 yrs to 45 yrs 😂😂😂😂
The conversation was about that single factory Mr. Geuza Udinywe.MMI Steel Wako nchi nne huweziku-compare na Devki Mzee! Wacha ujinga!
MMI Steel Wako nchi nne huweziku-compare na Devki Mzee! Wacha ujinga!
View: https://vm.tiktok.com/ZNdMUVJwt/ kunyan mmeona wazungu mnaowapapatikia wanafanya utamaduni wa kisukuma wakiwa kwao europe huko,nyie mbwa endeleeni kiingereza chenu kibovu
They sing Sukuma. Ngoma hiyo inaitwa Buyeye
View: https://vm.tiktok.com/ZNdMyj8Kq/ hii ndio buyeye,safi sana,kundudwellers wakiwaona wazungu wanafuata tamaduni za kitanzania,mavi yanawabana
Ka express way kamoja ndani ya Nairobi tayari ndio unaji mention kuwa na super B highways.? 🤣🤣🤣🤣 haya ni maajabu kweli.Fikra za vijiweni na ndoto za alinacha kwa pamoja🤣🤣., all developed countries with SGR have superb highways., Uganda are already building SGR from Malaba and also wako kwa process ya kujenga expressway from Kampala to Jinja and extension ya dual carriage through Busia to Kisumu.., mnawachwa nyuma pole pole.., SGR alongside good roads, fast and reduced chances of accidents., highways won't kill freight train., never!
Labda kama kuna Dar nyingine unazungumzia.. hiyo nayo ni barabara au takataka.? 🤣🤣🤣 Dar ilishaachana na takataka za hivyo miaka mingi iliyopita. We don’t deal with the basic infrastructure no more, hiyo kwasasa tafutana na Mwanza, Arusha na Dom. Huko ndio wanahangaika kujenga hizo 4 lanes basic roads sahii.Ukatumiwa unajiona umefanya kitu cha maana sana? Those houses you have circled kuzipata Dar is slum lazima uende Masaki, hiyo barabara umepoint huko Tanzania kupata Kama hiyo hazifiki tatu.
Kumbe nikiwa sipo humu unapata kuiongopea jamii.? 🤣🤣🤣🤣 haya nimerudi tena. Unaitaka tena battle ya China the super power na US taifa la wapumbavu.?The other day I had same argument with the resident monkey boy . China is shiny in urban areas only. Lots of rural areas still resemble third world .Just like India they are overwhelmed by overpopulation and crowded spaces.
Huku ndio vichaka mlivyobakiza na waume zenu. 🤣🤣🤣🤣 takwimu.. ila ground inawafokea. Nyie na wapumbavu wa America.Wewe ni mpumbavu walai🤣🤣🤣., China sio first world, haujui China wewe., unaona tu maghorofa na other infrastructure kama rail and roads, na bridges, better than US and Europe in design and quality., ila ikija standards of living., hawajafika level ya first world countries., fanya utafiti kilaza, checkout their congested apartments and dilapidated housing where millions of average Chinese live ukilinganisha.,
Tanzania ni kama Nigeria, Ethiopia na DRC, watu wengi ni level ya uswazi., ata world bank hawakukosea walipo establish hii👇 facts., na pia matokeo ya utafiti inayo onyesha idadi ya slum dwellers in Africa mnaongoza East Africa kwa sasa🤣🤣🤣
View attachment 3331279
Idadi hii👆kwa sasa imeongezeka Tanzania 🤣