Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaan hapa naona Samia anawachelewesha ilitakiwa tumvute mseveni chemba tumwambie wewe kuja tujenge reli itayopasua katikati ya nchi mpaka juba
Fikra za vijiweni na ndoto za alinacha kwa pamoja🤣🤣., all developed countries with SGR have superb highways., Uganda are already building SGR from Malaba and also wako kwa process ya kujenga expressway from Kampala to Jinja and extension ya dual carriage through Busia to Kisumu.., mnawachwa nyuma pole pole.., SGR alongside good roads, fast and reduced chances of accidents., highways won't kill freight train., never!
 
Runda ni mtaa unaomilikwa na watu wachache tena Wazungu , chini ya kampuni moja.

Yaani mtaa mmoja unamilikiwa na kampuni moja.

Tanzania hakuna huu ujinga
Alie wadanganya lazima alikufa na kuwaachia laana ya uwongo na fikra potovu, mmebakia na laana ya kujidanganya na kujiliwaza miaka nenda miaka rudi, poleni sana, nimeanza kuelewa sio makosa yenu, waliowatangulia waliwalisha propaganda hadi basi🤣🤣🤣🤣
 
Who said it is? Nairobi has them all over the place. The only difference is that in Nairobi, you'll never find apartments in posh estates while in Dar it's the epitome of poshness.
Nairobi is full of apartments all over the poshy areas like Uppeerhill, Lavington, Kileleshwa, South B, South C, Kilimani

PLUS

Real estates development projects owned by companies like Runda, Tatu city

PLUS,

SLUMS where common Kenyans live.

And, those with little money, and don't want to live in Pipeline or othwr slums live all the way to RUIRU.

In Tanzania, appartments are not common. Its just a new thing for foregners and Airbnb.

In TZ we have no such a culture of residing in apartments, especially with a familiy.
 
Fikra za vijiweni na ndoto za alinacha kwa pamoja🤣🤣., all developed countries with SGR have superb highways., Uganda are already building SGR from Malaba and also wako kwa process ya kujenga expressway from Kampala to Jinja and extension ya dual carriage through Busia to Kisumu.., mnawachwa nyuma pole pole.., SGR alongside good roads, fast and reduced chances of accidents., highways won't kill freight train., never!
Developed on what sense ? Sio Kila kinachofanywa na mataifa ya nje lazima mfuate. Mpaka sasa demand ya matumizi ya sgr kwa abiria imeshuka kwa 200,000 hapo speed bado inaendelea kushuka maana kwa sasa treni yenu kufikisha speed ya 100km/ hr ni nadra sana .
We unadhan treni yenu itaweza shindana letsay na basi litalokuwa linatembea speed ya 130 km/hr Tena bei ndogo.
Ukitaka fananisha na developed nations,hiko kote hakuna sgr inayopungua speed ya 200km/hr na hata huko marekani inatembea kwa 160km/hr ambayo inakuwa ni speed ambayo huwez tembea constant hata kama utakuwa kwa express highways.
 
Who said it is? Nairobi has them all over the place. The only difference is that in Nairobi, you'll never find apartments in posh estates while in Dar it's the epitome of poshness.
Kuishi kwa apartments in Tanzania ni anasa, ndio maana ni wahindi na waarabu ndio majority in apartments in Dar, ni ushamba ulio ndani ya CBD, unaona nguo zimeanikwa kwa balcony 🤣🤣🤣., hawa mikwara wengine walio wengi(90%) are condemned to uswazi!.,
 
Alie wadanganya lazima alikufa na kuwaachia laana ya uwongo na fikra potovu, mmebakia na laana ya kujidanganya na kujiliwaza miaka nenda miaka rudi, poleni sana, nimeanza kuelewa sio makosa yenu, waliowatangulia waliwalisha propaganda hadi basi🤣🤣🤣🤣
Mbona mnashindwa leta picha za mitaa yenu mmebaki mnaleta maneno tu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kati ya watu wanapenda kujifia kuishi kwa apartment ni wakenya
 
Developed on what sense ? Sio Kila kinachofanywa na mataifa ya nje lazima mfuate. Mpaka sasa demand ya matumizi ya sgr kwa abiria imeshuka kwa 200,000 hapo speed bado inaendelea kushuka maana kwa sasa treni yenu kufikisha speed ya 100km/ hr ni nadra sana .
We unadhan treni yenu itaweza shindana letsay na basi litalokuwa linatembea speed ya 130 km/hr Tena bei ndogo.
Ukitaka fananisha na developed nations,hiko kote hakuna sgr inayopungua speed ya 200km/hr na hata huko marekani inatembea kwa 160km/hr ambayo inakuwa ni speed ambayo huwez tembea constant hata kama utakuwa kwa express highways.
The essence of SGR is freight sio abiria kilaza, movement of bulk cargo at once from the port, enhancing quick turnaround for ships.., boss Wacha kulazimisha fikra zako pedestrian bana🤣🤣🤣., speed can be upgraded any day any time., it's SGR., electrifying is just a moment., freight is the main fundamental of building rails.,
 
Alie wadanganya lazima alikufa na kuwaachia laana ya uwongo na fikra potovu, mmebakia na laana ya kujidanganya na kujiliwaza miaka nenda miaka rudi, poleni sana, nimeanza kuelewa sio makosa yenu, waliowatangulia waliwalisha propaganda hadi basi🤣🤣🤣🤣
Tell who owns Runda estates.

Acha maelezo marefu.

We know the houses are owned by one company
 
The essence of SGR is freight sio abiria kilaza, movement of bulk cargo at once from the port, enhancing quick turnaround for ships.., boss Wacha kulazimisha fikra zako pedestrian bana🤣🤣🤣., speed can be upgraded any day any time., it's SGR., electrifying is just a moment., freight is the main fundamental of building rails.,
So, huko Naivasha.

Mmepeleka SGR, inapeleka freight gani??
 
Tell who owns Runda estates.

Acha maelezo marefu.

We know the houses are owned by one company
Wacha ushamba wewe asking who owns Runda estate nikama kuuliza who owns Masaki or Mikocheni. Runda is a big place, it's not a gated community estate.
 
The essence of SGR is freight sio abiria kilaza, movement of bulk cargo at once from the port, enhancing quick turnaround for ships.., boss Wacha kulazimisha fikra zako pedestrian bana🤣🤣🤣., speed can be upgraded any day any time., it's SGR., electrifying is just a moment., freight is the main fundamental of building rails.,
Bado logic inabaki kuwa express highways itaaffect upatikanaji wa mizigo maana itakuwa rahisi hiyo Moja
.
Issuei ya kuelectrify huo uwezo hamna kwa sasa na hata mkitaka kuongeza speed itabidi muanze kuchomelea hiyo reli mwanzo mwisho wakati huo uwezo hamna, kumbuka ni miaka nane toka muanze kuoperate ila mmeshindwa kufikisha hata hapo malaba only 350km kutoka nairobi
 
Mbona mnashindwa leta picha za mitaa yenu mmebaki mnaleta maneno tu. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwani wewe ni mgeni humu??.., tulileta tukachoka, wenzako walikosa jibu wakaanza domo domo, Kisha wakaanza kutafuta matako ya Kenya akina Kibera ili kujiliwaza na kujikomboa kutokana na kipigo, kwenu walikosa kabisa., boss, rudi nyuma..
Tazama hiišŸ‘‡clip ya miaka ya nyuma kwanza.,

View: https://youtu.be/6sDvFOmus8o?si=3_RV12kZ4okfJ13r
 
Kwani wewe ni mgeni humu??.., tuliketa tukachoka, wenzako walikosa jibu wakaanza domo domo, Kisha wakaanza kutafuta matako ya Kenya akina Kibera ili kujiliwaza na kujikomboakytokana na kipigo, kwenu walikosa kabisa., boss, rudi nyuma..

Kwahiyo umeshindwa leta picha za dizain hii leta picha mtaani usituletee mabati 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo naona magodown tu

View: https://youtu.be/lkwuXEBHNc8?si=19fKdt2-geJQ8y1L
 
Kwani wewe ni mgeni humu??.., tuliketa tukachoka, wenzako walikosa jibu wakaanza domo domo, Kisha wakaanza kutafuta matako ya Kenya akina Kibera ili kujiliwaza na kujikomboakytokana na kipigo, kwenu walikosa kabisa., boss, rudi nyuma..
Tazama hiišŸ‘‡clip ya miaka ya nyuma kwanza.,

View: https://youtu.be/6sDvFOmus8o?si=3_RV12kZ4okfJ13r

Wenzako wanakimbiaga humu naona ugeni unakusumbua
 
Bado logic inabaki kuwa express highways itaaffect upatikanaji wa mizigo maana itakuwa rahisi hiyo Moja
.
Issuei ya kuelectrify huo uwezo hamna kwa sasa na hata mkitaka kuongeza speed itabidi muanze kuchomelea hiyo reli mwanzo mwisho wakati huo uwezo hamna, kumbuka ni miaka nane toka muanze kuoperate ila mmeshindwa kufikisha hata hapo malaba only 350km kutoka nairobi
Hua munadhani Kenya ni LDC kama Tanzania. We need all those infrastructure in place to boost our economy.
 
Wacha ushamba wewe asking who owns Runda estate nikama kuuliza who owns Masaki or Mikocheni. Runda is a big place, it's not a gated community estate.
Runda steet was built, developed and owned by a real estate company.

In Masaki and Mikocheni, everyone built and owns his own house unlike Nairobi full of real estates developers apartments.

Apartments wanajenga NHC, Upanga na Kariakoo wanapanga huko Wahindi

Na msikariri sana Mikocheni na Masaki. Hizo siku hizi ni OLD SCHOOL.

This is Mbweni, Dar Es Salaam evwryone builds own house. It's not a just ONE COMPANY owning a STREET
 
Bado logic inabaki kuwa express highways itaaffect upatikanaji wa mizigo maana itakuwa rahisi hiyo Moja
.
Issuei ya kuelectrify huo uwezo hamna kwa sasa na hata mkitaka kuongeza speed itabidi muanze kuchomelea hiyo reli mwanzo mwisho wakati huo uwezo hamna, kumbuka ni miaka nane toka muanze kuoperate ila mmeshindwa kufikisha hata hapo malaba only 350km kutoka nairobi
Alie kuambia uwezo wa ku electrify Kenya haina ni nani? Stop looking at Kenya through poverty Tanzanian lenses, Kenya sio mwenzenu., yaani huwa mnatamanigi sana fikra zenu zikue ni kweli, ila mnaambulia patupu., Kuna what we call priorities and viability factors that affected continuation hapo nyuma, Kenya sio Tanzania ya vilaza, wakiona Kenya wamefanya jambo na wao pia wanakurupuka bila kufanya thorough feasibility study, SGR yenu haina uwezo wa kujilipa miaka mingi sana, Dar city ndio ina consume the bulk of imports, exports zenu na pia ujumuishe ya mataifa fukara yalio wazunguka hazitoshelezi viability ya hiyo SGR, it's merely for national pride yaani ya kujipiga kifua eti mko na SGR., boss mko hovyo, Tanzania bado ni taifa mnyonge sana 🤣🤣🤣.,
 
Back
Top Bottom