Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Hawa ni vilaza seriously 🤣🤣🤣, looking at Kenya through poor Tanzanian lenses..Hua munadhani Kenya ni LDC kama Tanzania. We need all those infrastructure in place to boost our economy.
Hawa ni vilaza seriously 🤣🤣🤣, looking at Kenya through poor Tanzanian lenses..Hua munadhani Kenya ni LDC kama Tanzania. We need all those infrastructure in place to boost our economy.
Wenzako wanakimbiaga humu naona ugeni unakusumbua
Umaskini mentality.Hawa ni vilaza seriously 🤣🤣🤣, looking at Kenya through poor Tanzanian lenses..
Ingekuwa hivyo mngekuwa mshafanikiwa kufikisha malaba ila miaka 8 mpaka sasa hamjafanikiwa kufikisha ila Tanzania inajenga 2500 kwa mpigo.Alie kuambia uwezo wa ku electrify Kenya haina ni nani? Stop looking at Kenya through poverty Tanzanian lenses, Kenya sio mwenzenu., yaani huwa mnatamanigi sana fikra zenu zikue ni kweli, ila mnaambulia patupu., Kuna what we call priorities and viability factors that affected continuation hapo nyuma, Kenya sio Tanzania ya vilaza, wakiona Kenya wamefanya jambo na wao pia wanakurupuka bila kufanya thorough feasibility study, SGR yenu haina uwezo wa kujilipa miaka mingi sana, Dar city ndio ina consume the bulk of imports, exports zenu na pia ujumuishe ya mataifa fukara yalio wazunguka hazitoshelezi viability ya hiyo SGR, it's merely for national pride yaani ya kujipiga kifua eti mko na SGR., boss mko hovyo, Tanzania bado ni taifa mnyonge sana 🤣🤣🤣.,
Runda ni kubwa boss. I told you the other day Kuna Old Runda, New Runda and Runda Mimosa. Hii Mbweni mumeimba sana ni kama ndio the richest neighborhood in dar is a slum ama ni hizo town houses zimewashtua. Lavington has a lot of those townhouses hadi tumezoea.Runda steet was built, developed and owned by a real estate company.
In Masaki and Mikocheni, everyone built and owns his own house unlike Nairobi full of real estates developers apartments.
View attachment 3331208
Apartments wanajenga NHC, Upanga na Kariakoo wanapanga huko Wahindi
Na msikariri sana Mikocheni na Masaki. Hizo siku hizi ni OLD SCHOOL.
This is Mbweni, Dar Es Salaam evwryone builds own house. It's not a just ONE COMPANY owning a STREET
Sasa mbona ham-electrify?Alie kuambia uwezo wa ku electrify Kenya haina ni nani? Stop looking at Kenya through poverty Tanzanian lenses, Kenya sio mwenzenu., yaani huwa mnatamanigi sana fikra zenu zikue ni kweli, ila mnaambulia patupu., Kuna what we call priorities and viability factors that affected continuation hapo nyuma, Kenya sio Tanzania ya vilaza, wakiona Kenya wamefanya jambo na wao pia wanakurupuka bila kufanya thorough feasibility study, SGR yenu haina uwezo wa kujilipa miaka mingi sana, Dar city ndio ina consume the bulk of imports, exports zenu na pia ujumuishe ya mataifa fukara yalio wazunguka hazitoshelezi viability ya hiyo SGR, it's merely for national pride yaani ya kujipiga kifua eti mko na SGR., boss mko hovyo, Tanzania bado ni taifa mnyonge sana 🤣🤣🤣.,
Devki Steel has a capacity of 500k tonnes a year. Tulia we mzee.Kuna
About Us – MMI Steel Tanzania
mmisteel.com
SGR ya Kenya mara inaenda Naivasha mara Nairobi..Alie kuambia uwezo wa ku electrify Kenya haina ni nani? Stop looking at Kenya through poverty Tanzanian lenses, Kenya sio mwenzenu., yaani huwa mnatamanigi sana fikra zenu zikue ni kweli, ila mnaambulia patupu., Kuna what we call priorities and viability factors that affected continuation hapo nyuma, Kenya sio Tanzania ya vilaza, wakiona Kenya wamefanya jambo na wao pia wanakurupuka bila kufanya thorough feasibility study, SGR yenu haina uwezo wa kujilipa miaka mingi sana, Dar city ndio ina consume the bulk of imports, exports zenu na pia ujumuishe ya mataifa fukara yalio wazunguka hazitoshelezi viability ya hiyo SGR, it's merely for national pride yaani ya kujipiga kifua eti mko na SGR., boss mko hovyo, Tanzania bado ni taifa mnyonge sana 🤣🤣🤣.,
Kenya ni maskini tu, ni kama usa na china . Nyinyi na trump akili sawa ila tambo nyingi ila hamna kitu njaaaHawa ni vilaza seriously 🤣🤣🤣, looking at Kenya through poor Tanzanian lenses..
Siasa tu hizo walipigwa.Sasa mbona ham-electrify?
![]()
Chinese firm lends Kenya Sh25bn to electrify SGR
The loan, which has been obtained through Ketraco, will be used to build power stations, linewww.businessdailyafrica.com
Hawana hela ya kujenga na hata wakijenga uhakika wa mzigo wa kurudi hawana, maana hata ukiangalia sehem inazopita uhakika hata wa kuhamasisha kilimo ili wasafirishe haiwezekanikiSGR ya Kenya mara inaenda Naivasha mara Nairobi..
Crazy stuffs
MMI Steel is bigger than Devki! It has 2 factories in Tanzania, 1 in Ugandan, 1 in Mozambique n 1 in Zambia!Devki Steel has a capacity of 500k tonnes a year. Tulia we mzee.
You are dumb AF 🤣😄SGR ya Kenya mara inaenda Naivasha mara Nairobi..
Crazy stuffs
Ingekuwa hivyo mngekuwa mshafanikiwa kufikisha malaba ila miaka 8 mpaka sasa hamjafanikiwa kufikisha ila Tanzania inajenga 2500 kwa mpigo.
Ukisema copy and paste , wakenya ni hodari labda tukumbushe tu
View: https://youtu.be/SZNhpz3QLw4?si=pfSBmkCZqB1R_KjS
Tanzania is a lower middle income country.Hua munadhani Kenya ni LDC kama Tanzania. We need all those infrastructure in place to boost our economy.
Fukara anajiliwaza🤣🤣🤣🤣🤣Kenya ni maskini tu, ni kama usa na china . Nyinyi na trump akili sawa ila tambo nyingi ila hamna kitu njaaa
When time comes, and with sufficient power we will, hatutaki kubahatisha kila wakati iwe inazima ovyo ovyo kama yenu., btw has freight started operations?Sasa mbona ham-electrify?
![]()
Chinese firm lends Kenya Sh25bn to electrify SGR
The loan, which has been obtained through Ketraco, will be used to build power stations, linewww.businessdailyafrica.com
Devki has the biggest steel plant in East Africa with an annual capacity of 500K tonnes. Wacha kelele za chura.MMI Steel is bigger than Devki! It’s in Tanzania 2 factories in Uganda n Zambia!
Dunia ya leo unaweza kudanganya kweli?🤣🤣, indeed u are dumb AF!🤣🤣., Kuna many factors that can be used as indicators to justify the GDP numbers., kwa kweli vilaza ni wengi Tanzania 🤣🤣🤣🤣.,Tanzania is a lower middle income country.
Kenya is a lower middle income country by heavily cooking the GDP nad GDP per Caoita data.