Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magufuli pamoja na vita nzito, tulipata 16% pekee.
TWIGA MINERALS Joint Venture 50/50 economic benefits.
Alifumua leseni nyingi za kijinga hivyo hata huo wa Sengerema ulikua kwa Leseni Ya Barrick hadi huko Tembo ila baada ya Kupitisha sheria Permanent Sovereignty over Natural Resources, serikali ilikua na uwezo wa kupitia every natural resources na kubadili.ikiwa aliyepewa hanufaishi.

Alafu baada ya kubadilisha regulations aliweka kitu inaitwa LOCAL CONTENTS it means mgodi utatumia local contractors pale ambapo wanaweza kwa kila shughuli nenda tu mgodi wa NORTH MARA BAADA YA HIZI KUPITA NOW SHUGHULI ZIMECHANGE

TAIFA (CASPIAN MINING) - Kubeba Mawe kutoka machimboni hadi crasher before alikuwepo KIRIBO LTD(Mzawa kabisa wa Nyamongo) akitumia hizi Bell) na hajulikani kabisa utajiri

1746526402068.jpeg


Kuna kampuni nyingi kwa sasa Nyamongo zinafanya General Supply, Manpower supply, Contractors.

Ni benefits nyingi hata ukitoa 16% ya serikali yaani kiujumla faida nyingi sana.

Ila siku hizi hiyo LOCAL CONTENTS MIGODI MINGINE kama inadharauliwa hasa ya WACHINA kisa wamehonga kidogo 😡🤬🤬

Angalia tu hata gesi hao kina ExxonMobil etc ambao sasa wamekuja walikua close ila aliona kama haijakaa sawa akawapa TPDC muda wapitie vizuri maana aliona kama kuna chenga ila ajabu wizara ya kifala na Bodi ipo imemuweka kizuizini MKUU WA TPDC MATARAGIO.

Even hata haya masoko ya Madini alianzia huko, kutoa baadhi ya watu wa leseni za juu kushikilia hadi machimbo madogo kuwaondoa waende eneo la leseni tu, ndio maana hata siku hizi wabongo mambo yameanza jipa kwenye madini.

Ila inasikitisha baada ya Huu uchawa kuna wachina wanapewa machimbo madogo ambayo ni KINYUME CHA SHERIA KABISA na Mitz mijinga mijinga kwa kuwa ili isishitukiwe inaenda kufanya uchawa kwa nguvu.
 
Kunyaland lastly realize their shitty snail SGR needs a dumpster, hivi inakuaje Kunyaland imeingia shoti ya billions of dollars for SGR white elephant to link Mombasa and naislum to ease traffic ya mizigo na watu yet bado inaingia another billions scandal for the same job? 😂😂


View: https://youtu.be/y-jPi6Sfpms?si=0wjFDNPqhrg6zE7I

Kwasasa Kenya haikopesheki na haina pesa.

Inategemea matajiri wajenge halafu wapitishwe kwa kulipia.

Sasa ngarangara yao SGR inaenda Mombasa na deni hawajamaliza.

Wametafuta tena tajiri ajenge barabara ya kulipia
 

I don't know what you are trying to say.

Sisi ni Watanzania tunajenga kote unakoona.

Maisha hayafanani.

Ila Nairobi, matajiri wamewawekea FENCE.

TAJIRI ni TAJIRI na MASIKINI ni MASIKINI.

Ndio maana mitaa ya Matajiri Nairobi ni super rich, masikini hasogei kwasababu hiyo mitaa mingi ni PRIVATE OWNED ESTATES nad CITIES.

Sisis hatuna mitaa inayomilikiwa na kampuni au MTU.
 
Kwasasa Kenya haikopesheki na haina pesa.

Inategemea matajiri wajenge halafu wapitishwe kwa kulipia.

Sasa ngarangara yao SGR inaenda Mombasa na deni hawajamaliza.

Wametafuta tena tajiri ajenge barabara ya kulipia
Hiyo ngarangara haitopata mteja hata mmoja na ndio sababu mchina hatokaa apeleke sgr Malaba
 
Back
Top Bottom