Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Jirani hana cha kujivunia hadi ameanza ku claim vitu za Tanzania. 🤣🤣🤣🤣 dah jirani kazidiwa.
Ukizungumza na wahusika wa Utalii wanasena Serengeti huwa inajaa sana magari, too much of Safari Jeep.Technically unamaanisha u-punish investment za watu kisa Nationalparks na Game Reserves zingine hazitembelewi! Huo ndo ujinga nashindwa kuelewa utatoka lini kwenye vichwa vya Waranzania!
Serengeti NP ya 15000 sq km bado ina nafasi ya Lu-host watalii wengi zaidi Kumbuka Rwanda ukubwa wake ni 26000 sq km! Wacheni wivu!
Hizo alternatives hazilazimishwi bali zonakuwa marketed! Akili ya kukandamiza utalii sehemu moja ili kwingine ukue ni za kiabunuasi!
Is that supposed to derail my life?…why are you so primitive 🧌🦍 boy !..😄Govi boy
Eti wanadiriki kabisa kuuita international stadium ha ha ha😎Ila kundurendas bhana 🤣🤣🤣 i think ni last year walikua wanatutambia walipojenga hizi takataka 👇🏾huu uwanja bwana govinda alitusumbua nao sana 🤣🤣🤣View attachment 3321001
🤣 🤣 🤣 🤣 In this century you still walk with a foreskinIs that supposed to derail my life?…why are you so primitive 🧌🦍 boy !..😄
But lefa alikuwa upande wa wapinzani wetu.Madogo wamepiga mpira ila dah!