Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

HVi kwanini serikali inachelewa kupandisha viingilio vya mbuga za kaskazini
Gharama za Safari, Safari Jeep, Hotels, Visa na Chakula na baadhi ya amenities ni kubwa.

Ukipandisha viingilio, utalii utakuwa gharama kubwa sana, watu watatafuta altenatives.

Ujue kuna altenatives kama Kenya, Naminia, South Africa.

Yale magari ya Safari (Safari Jeep, ni $250 per day)

Kiingilio, $60 (Non East African)

Hapo bado hotel na kama unataka kupanda Ballon.
 
Back
Top Bottom