mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Tag me zikikamilika na mkikomboa ile ya Canada.Picha ya ndege inayotengenezwa kiwandani?, tunafahamu kwamba umechanganyikiwa, but this is too much.
Tag me zikikamilika na mkikomboa ile ya Canada.Picha ya ndege inayotengenezwa kiwandani?, tunafahamu kwamba umechanganyikiwa, but this is too much.
Ok, nitafanya hivyo wakati ukiwadia, na wewe usiache kunitag njaa itakapoishaTag me zikikamilika na mkikomboa ile ya Canada.

Ukipigwa chenga kubali.Ok, nitafanya hivyo wakati ukiwadia, na wewe usiache kunitag njaa itakapoisha![]()
![]()
njaa kenya ni kama kupe juu ya ngozi😀😀Ok, nitafanya hivyo wakati ukiwadia, na wewe usiache kunitag njaa itakapoisha![]()
![]()
Mimi nimekubali nitakutag muda ukifika, na wewe kubali kunijulisha njaa ikipungua pleaseUkipigwa chenga kubali.

Bado hamjaikomboa bombardier.
Kwa siku ninayoipanga.Hivi ulisema utakuja lini? Tunasubiria picha
TouchéKwa siku ninayoipanga.
Huyo mbona wa kawaida sana.hana uzuri wwoteKanze Dena is one Hot Milf
View attachment 659482
Ndio mabibi wa kikenya hao.Huyo mbona wa kawaida sana.hana uzuri wwote

Wa kutoka kiambu,au?Thiery henry![]()
KumaaWa kutoka kiambu,au?
Wa kutoka kiambu,au?
we jamaa ww
,huyo anatokea county ya bungomaAnafanana na hao wanaume sura,Ndio mabibi wa kikenya hao.
Mrembo kuliko wote ni lupita nyongo![]()
Kwa hiyo ukaona ni bora uishi dondora kuliko kukaa tzNiko fiti ila mnaniabisha huku. Bombardier Hii yetu magu ataikomboa lini? Kwani Hii nchi yetu itafikia kiwango cha majirani wetu lini? Hapa kazi tu imekua ni maneno bila akshen mbona? Tuko LDC majirani wanatubeza kila siku, inanikera mbaya.
Go Tz Go... mpaka 2025 hawa kunguni Wa Kenya lazima watapike Mawe
![]()
Kiukweli Kenya hakuna sector inayofanya vizuri kwa sasa, hiyo ni nchi ya ajabu sana, very poor in planning. Wakati shirika linaporomoka na linarudisha baadhi ya ndege walizokodi, wao ndiyo wanafungua njia ambayo is much more competitive kwenda USA, hawajali biashara yenye faida, muhimu kwao ni sifa za kijinga kama kawaida yao..stupidity is very bad disease.
Magufuli ameshalipia ndege 6 kwa mpigo, cash money, karibia $800M wakati shirika halijaanza kazi, maana yake ni kwamba ATCL inaanzana ndege zake haina mzigo wa kulipa interest, inaanza na Dreamliner moja, KQ miaka yote hiyo haina Dreamliner hata moja iliyonunua kwa pesa yake..duuh..wazee wa misifa ya kijinga.