joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Duuh, ama kwa ukweli JF ni kiunganishi cha ukweli, hili haliwezi kutokea katika forums huko Kenya, wakiwa huku wanajiita my fellow Kenyans, huko nyumbani hakuna umoja huo, kuna forums za Kikuyu, Jaluo, Kalenjins, pwani, Kisii, Kamba..Hongera JF kwa kuwaunganisha majirani.My fellow Kenyans je mumecheki a new forum inaitwa Somalispot.com ya Somali community? I have sampled it a little bit na naona nikijoin just to infuriate them.