alaf kenyatta analazmisha banks 11 zinunue share wakati shirika linaendesha hasara😀😀😀😀😀Tanzania Haina hata uwezo wa kuikomboa bombardier.
Bado hamjaikomboa bombardier.wakati imeshanunua mbili na zinafanya kazi tena cash
ile ni case na iko mahakamani so wewe tulia huu ni wakat wa tanzania kuonesha maajabuBado hamjaikomboa bombardier.
Magufuli ametumia kama $1B kununua ndege zetu hizo toka kwa manufacturers, tumeshalipa na deliveries itakamilika August 2018 na Dreamliners 2019.
Na bado, endeleeni kuisoma namba kimya kimyaBado hamjaikomboa bombardier.
Ziko wapi hata picha jameni?Kama tulilipia cash na ikatoka kiwandani tutashindwaje kulipia hilo deni, kesi ipo mahakamani, tukipoteza kesi tutalipa hilo deni, tupo makini hatulipi madeni hovyo hovyo, kumbuka tumeshalipia na ndege zingine zipo kiwandani muda huu..Tanzania kiboko yao.
Weka picha macho yaridhike.Na bado, endeleeni kuisoma namba kimya kimya
Picha?2 bombadier cash payment zinafanya kazi nchini
Kwani ametuma na mdomo? Weka link.Magufuli ametumia kama $1B kununua ndege zetu hizo toka kwa manufacturers, tumeshalipa na deliveries itakamilika August 2018 na Dreamliners 2019.
Investors are simply negotiating for a better deal. That was back in August 2017 and haven't heard anything worrying lately. Am sure they will strike or have already stoked a deal. Pole ndugu.alaf kenyatta analazmisha banks 11 zinunue share wakati shirika linaendesha hasara😀😀😀😀😀
mulishindwa kumtafuta mchawi kwenye mwanga wa Mungu mutaweza kumpata kwenye mwanga wa mzungu
Banks sue over bid to convert KQ debt billions into shares
endeleeni kumlilia mganda kwenye bandari maana hio ndio sector iliobaki inapumulia ICU
Ngoja muisome namba kwanza ndiyo upatiwe link.Kwani ametuma na mdomo? Weka link.
Sio Mara ya kwanza nyinyi kutuonyesha maajabu, Hata Hii ya Bombardier kushikwa ni maajabu.ile ni case na iko mahakamani so wewe tulia huu ni wakat wa tanzania kuonesha maajabu
Picha ya ndege inayotengenezwa kiwandani?, tunafahamu kwamba umechanganyikiwa, but this is too much.Ziko wapi hata picha jameni?
wewe jitekenye kisha ucheke😀😀😀😀Investors are simply negotiating for a better deal. That was back in August 2017 and haven't heard anything worrying lately. Am sure they will strike or have already stoked a deal. Pole ndugu.
Niko fiti ila mnaniabisha huku. Bombardier Hii yetu magu ataikomboa lini? Kwani Hii nchi yetu itafikia kiwango cha majirani wetu lini? Hapa kazi tu imekua ni maneno bila akshen mbona? Tuko LDC majirani wanatubeza kila siku, inanikera mbaya.Mtanzania mwaswat vp![]()
![]()
Hahahaha! Hamna kituuuu.Ngoja muisome namba kwanza ndiyo upatiwe link.