Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

FIFA wamesema, lakini wale jamaa wamenuna 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇


View: https://www.instagram.com/p/DJAB4rrMajg/

1745865552970.png
 
Linapokuja swala la kilimo sisi always ndani ata top ten, top five or tunaongoza kwa zao lolote lile!
Zao la hivi halina sana soko Tanzania ndio maana halilimwi kwa sana. Viazi zinavyolika sana Tanzania ni Sweet potato.
View attachment 3318791

View attachment 3318790
Mkuu yani hivyo viazi mviringo whether it's brown or regular white potatoes ndiyo vinalimwa kwa wingi sn huku Tanzania, wanachofanya wakenya ni u middlemen cz hao siku zote wameshazoea kazi za u argent. Wanachukua viazi Tanzania wanabandika labels wana export as Kenyan products, lkn hizo hila zao zote zimeshapigwa pini na Bashe, kilichobaki ni statistics za kitambo ndiyo wanatembea nazo, watuoneshe mashamba kama kweli wanalima hvyo viazi.
 
Unajua zaidi ya kuwa na mgodi hatuna kingine.

Soko, teknolojia na biashara ni wao.

Na mapato mengine kama Mirabaha na kodi inalipwa
Soko na teknolojia gani bhana haya mambo ya kujidharau yashapitwa na wakati ni bora wangeingia ubia na kampuni za ndani kadhaa angalau tufike ata asilimia arubaini zinabaki hapa hapa lakini kwa 15 ni ndogo sanaa
 
Back
Top Bottom