chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,674
- 45,902
Sasa wanacholalama ni nini na GDP yao ni kubwa?
๐๐๐๐๐๐ Naona kakuibia code, halafu huo upumbavu anaonesha ni toka kibaki hajafa ๐๐๐Unaweza kutuambia hapo ni wapi!!!!!
Alafu chongchung si umeona vimaneno vyake alivyotumia ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Speechless with 50kphMzungu amebaki speechless, European standards in Africa ๐๐View attachment 3317530
Mwaka huuu sijui naona kama Kuna vikombe kama vitatu tunatwaaBaada ya Kutawala East Africa Kwenye Football. Tumehamia West Africa. Tunawagonga kila mmoja kwa wakati wake.
Hawa mini macho yaooo nyang'au
Mwaka huu mpaka waite maji mmaHawa mini macho yaooo nyang'au
akili zao zinawaza ugali tu๐๐๐
View: https://x.com/ntvkenya/status/1916823475601223996?s=46
Yaani mpaka wasemeMwaka huu mpaka waite maji mma
Ngorongoro Heros nao wanaingia kesho kupambanaYaani mpaka waseme
I thought you said the stadium is built at a well planned site or something, aerial photos say otherwise.Talanta stadium from the air. Makwapa imezingirwa na uswazi kushoto kulia View attachment 3317610View attachment 3317611View attachment 3317612
Hvi hapa Afrika tunashidwa nini kutekeleza jambo kama hilo
View: https://x.com/akech_andrew/status/1916396196328886765?t=2ZyTmLkLUPJ4XziQUIZTnA&s=19
Hvi hapa Afrika tunashidwa nini kutekeleza jambo kama hilo
View: https://x.com/akech_andrew/status/1916396196328886765?t=2ZyTmLkLUPJ4XziQUIZTnA&s=19
"Kunyans are busy on weekdays. Ngoja weekend uone vile watu watajaa." na story zingine.
Weekend ikafika ๐๐๐
View: https://x.com/teyakevin/status/1916558409828049062?s=46