Hizi makelele zenu tushaazizoea. Mkishindwa lazima takwimu ziwe feki.
La kwanza, GDP haina uhusiano na population. GDP per Capita ndio Ina uhusiano na population Sasa sijui ni kipo unachoongelea.
La pili Kenya ni miongoni mwa nchi kidogo za Africa ambazo tumefanya census every after 10 years bila kufeli. Kila mwaka unaoisha na nambari 9 Kuna census Kenya. Sasa sielewi ukisema Kenya mwaka wake wa census haueleweki unamaanisha Nini ama ni ignorance. Tumekuwa na census miaka ya 1948, 1962, 1969, 1979, 1989, 1999, 2009, and 2019, ukiangalia tangu Uhuru tumekuwa constant. Census after every 10 years. In fact hapo kwenu ndio hamueleweki maanake nikiangalia statistics naona mmekuwa na census miaka ya 1967, 1978, 1988, 2002, 2012, and 2022.