Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo huwa wanafanya hivi 👇👇🤣🤣🤣View attachment 3318847
Alafu anaweka vimaneno like "wooww is this Nairobi, I can't imagine being one among the Nairobi residents"

Kumbe ukweli ni huu 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 3318850
Na utakuta magovinda wenzie wana like na kopa wanaweka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hayo maghorofa hapo, kwa muonekano ni Apartments za kampuni fulani.

Imejenga inapangisha.
 
Unajua zaidi ya kiwa na mgodi hatuna kingine.

Soko, teknolojia na biashara ni wao.

Na mapato mengine kama Mirabaha na kodi inalipwa
Chukulia mfano wa eacop hatujaweka hata dhumni ila tumetoa land ila tumekula asilimia 15 na bado watatulipa usd 12 per barrel kwa siku tunajikuta tuna kama usd 2mil kwa siku
 
Mradii mzurii ila 15% naona ni kidogo kwa miakaa hii angalau iwe robo
Kuna mazingira serikali inaweza kumiliki mpaka 50 percent kwenye kila mgodi, according to JPM mining reforms

Screenshot_20250428-191600.jpg
 
Hata China products are cheaper hope pia wao ni LDC
Reasoning zao ni kama hawajaenda shule aisee, yn wanakuja kuchukua mzigo from china hapa Tanzania which means huko China ndiyo cheap zaidi, The issue is, wakenya hawana capital za kutosha kwenda direct to China that's why they muchly depend on Tanzanian businessmen who have muscles to go to China.
 
Chukulia mfano wa eacop hatujaweka hata dhumni ila tumetoa land ila tumekula asilimia 15 na bado watatulipa usd 12 per barrel kwa siku tunajikuta tuna kama usd 2mil kwa siku
EACOP hiyo $12 per barrel siyo gharama za bandari kweli??

Maana hata hao Mgodi watakuwa wanasafirisha Makinikia (mchanga), lazima walipie gharama za bandari.

Ili upate manufaa mazuri na hizi raw materials, lazima uwe na processing plants.

Magufuli alipambana sana ila naona kuwa na teknolojia na processing plants ni suala gumu.

Ugumu ulipo:

  • Wao ndio wanajua soko
  • Wao ndio wanapewa pesa za uwekezaji na mabank huko kwao
  • Wao ndio wana technology


Watu wa hivyo, kwenye mikataba lazima watatafuta namna ya kunufaika zaidi siku zote.



View: https://www.instagram.com/reel/DIM0tWtNCMP/?igsh=d3hwbXpnbmRmc2Uw
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Oyaaa ushawamasta
Nawajuwa vzr hawa mbwa miaka ambayo nmekuwa nao humu nikagundua ni bora uuwe mkenya kuliko Simba ikitokea upo msituni.
 
I love the upcoming Nairobi-Nakuru Highway. Notice the wide median with beautiful landscaping. This gonna be dope . Kama Texas na California mwanangu ..😄
View attachment 3318876
Unaweza kutuambia hapo ni wapi!!!!!

Alafu chongchung si umeona vimaneno vyake alivyotumia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom