The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,537
Na hapo hatuja share data mpya.GDP is $85B
Revisit your data
Na hapo hatuja share data mpya.GDP is $85B
Revisit your data
😂😂😂😂Hapo ni baada ya kutoka dar ndani ya masaa nane tayari inakuwa mwanza theni kitu kinashushwa fasta kwenye meli na kuanza safari ya kwenda Kampala kipindi treni ya Kenya ndo kwanza inaitafuta voi kutokeza mombasa
Kenya wanaabudu sana pesa.Trump Effect hawana ubavu wa ku fund operation yoyote on their own.
So Boma tena sio off Mombasa Road? Wewe hujui anything kuhusu Nairobi.acha ujinga wewe ukiwa mombasa road heading to CBD past panari unaingia kichochoro hapo on your left after the juction the road leads you to the boma. Kwanza sipaswi kubishana na nyie washamba.
Overfoot ndio nini tena wewe mshamba? Again shell is nowhere to close where someone branches off from Mombasa road to Boma Hotel. There are only two stations, Ola Energy Bellevue and Total Energy Bellevue.if I may ask ile kituo cha mafuta cha SHELL on Mombasa highway baada ya ile overhead foot crossing ya vioo chakavu iko South ipi kama Mombasa highway haijapita South C? Nyie mbumbumbu hata mji wenu hamuujui vizuri.
EACOP hiyo $12 per barrel siyo gharama za bandari kweli??
Maana hata hao Mgodi watakuwa wanasafirisha Makinikia (mchanga), lazima walipie gharama za bandari.
Ili upate manufaa mazuri na hizi raw materials, lazima uwe na processing plants.
Magufuli alipambana sana ila naona kuwa na teknolojia na processing plants ni suala gumu.
Ugumu ulipo:
- Wao ndio wanajua soko
- Wao ndio wanapewa pesa za uwekezaji na mabank huko kwao
- Wao ndio wana technology
Watu wa hivyo, kwenye mikataba lazima watatafuta namna ya kunufaika zaidi siku zote.
View: https://www.instagram.com/reel/DIM0tWtNCMP/?igsh=d3hwbXpnbmRmc2Uw
Si Tanzania pia inanunua Marcopolo and Scania trucks from Kenya?but mexicans buy American goods from cars to everything. Nyie sasa 🤣🤣🤣🤣
Si wewe ndio yule mwenye huwa haamini statistics? Mbona leo unazitumia? Ama hizo statistics are only uchwara when it favors Kenya?Linapokuja swala la kilimo sisi always ndani ata top ten, top five or tunaongoza kwa zao lolote lile!
Zao la hivi halina sana soko Tanzania ndio maana halilimwi kwa sana. Viazi zinavyolika sana Tanzania ni Sweet potato.
View attachment 3318791
View attachment 3318790
Hilo ni swala liko wazi na hizo ni takwimu za FAO na ziko sawa na takwimu za serikali.Si wewe ndio yule mwenye huwa haamini statistics? Mbona leo unazitumia? Ama hizo statistics are only uchwara when it favors Kenya?
Calculating debt to GDP ratio ilikushinda?GDP is $85B
Revisit your data
Gani hazikuangi sawa na za serikali yenu?😂😂🤣😂Hilo ni swala liko wazi na hizo ni takwimu za FAO na ziko sawa na takwimu za serikali.
Si ni wewe tu juzi uliapa kufunga account Talanta ikijengwa . If I was you I would choose my words wisely. Hata hii Highway inakuja starting this year . Unataka kufunga account tena?… 🤣🤣😄
Hapana, tukitoa incentives kwenye operations zao inachukuliwa kama shares kwenye investment, incentives kama tukiondoa kodi kwenye imports zao au services wanazotumia kutoka nje ya nchi au levies wanapotumia miundombinu yetu.Ndo mpaka tutoe pesa ya uwekezaji
Wakati watanzania mpaka machinga anaenda ChinaReasoning zao ni kama hawajaenda shule aisee, yn wanakuja kuchukua mzigo from china hapa Tanzania which means huko China ndiyo cheap zaidi, The issue is, wakenya hawana capital za kutosha kwenda direct to China that's why they muchly depend on Tanzanian businessmen who have muscles to go to China.