Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NairobiWalker
Read comment section of this video down here that was recently posted, see how Kenyans are all over internet bad mouthing Tz, is it jealous? Why so much hate and bitter?
The case is between SADC countries but Kenyans are here bad mouthing Tanzania even by telling lies
When we say Kenyans hate Tanzania with all their hearts, mnasema tunaongea sana.
Look at your fellow Kenyans

View: https://youtu.be/pCgPdLz6eSE?si=4Uj8O6KCyDvddNET

Ingekua ni Uganda versus hizo nchi wala usingeona comment ya Mkundustan akiiongelea vibaya Uganda au whatever country may be ila isiwe tu Tanzania wapo ready kuacha vyote waiongelee vibaya.
 
Account moja kutoka TikTok imekua watu wanagombania. 🤣🤣 Punguza upuzi bro

Nani kasema akaunti moja ya TikTok! Na hizo comment za watu wengine umehesabu!? Zipo akaunti karibu social network zote wakunya wanataka connection ya kuchukua mzigo kkoo... Hata kwenye hii battle Kuna kenge aliomba apewe connection ya chupi.

Halafu zuzu umeweka post ya detergent kutoka kunyaland kuja Bongo...hiyo ni ndoto nadhani hata hizo detergent na sabuni ni wakunya kibao wanazichukua Bongo kwa sababu ni nzuri na Zina reasonable prices.
 

Attachments

  • Screenshot_20250426-084529.png
    Screenshot_20250426-084529.png
    1.1 MB · Views: 4
The road to Talanta ( and still booming with new construction)… now imagine the roads to Mkapa ( no words)..😶
View attachment 3316626
Kwan hamwezi paint hizo Barabara?
By the way roads towards mkapa are Kawawa road and Kilwa road and both have BRT system.
If you want to access the stadium there is Uhamiaji, Duce and JKT BRT stations
 
Back
Top Bottom