Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kisesa luxury residence. Mwanza..

Status: on going project.
 
Attachments

  • Screenshot_20250426-094237.png
    Screenshot_20250426-094237.png
    685 KB · Views: 9
  • Screenshot_20250426-094211.png
    Screenshot_20250426-094211.png
    500.6 KB · Views: 11
  • Screenshot_20250426-091722.png
    Screenshot_20250426-091722.png
    1.1 MB · Views: 8
Tumia akili zuzu wewe.... Kkoo inashusha meli moja kila mwezi, bado kuna meli nyingine China na maeneo mengine kushusha mzigo kkoo.

Sijaongelea sehemu nyingine hapo ni special kwa kkoo only. Hilo soko la Ubungo ndio lita ongeza volume kwenda meli 3 hadi 5. Hizo ni special kwa wafanyabiashara wa hapa ndani.

Sasa niambie kwa kunyaland mna wafanyabiashara ambao wameagiza hata container 5 kwa pamoja? Hizo direct ship from china to msa huwa zinashusha Nini hapo? Unajua maana ya dedicated direct ship?
Usiwe pumbavu, kwani Kariakoo ni port? 🤣🤣 The fact is, Dar is a slum port ina meli moja pekee ambayo inatoka direct from China. Mombasa inazo zaidii ya kumi. Sasa hata sijui unabishana nini.
 
Economic growth kila siku hawa mafala huwa wanaiweka Tanzania ahead lakini hawaoneshagi kipi kinachokua at the end of the day, ila nchi kama Kunyaland isioweza hata kulipa mishahara bila donations wanazipa numbers kubwa lakini kwa ground ni kubadi

View: https://x.com/IMFAfrica/status/1915746373980590239?t=x6lyoyDPeDBJuarVigT-rg&s=19

GDP ya Kenya imepanda kwa $29b. Within a year according to IMF.

Kwa ground sasa ni kukopa kukopa hadi basi.

View: https://youtu.be/abAel5pLy_4?si=yiCoH-eh7Nd6-LpI
 
Usiwe pumbavu, kwani Kariakoo ni port? 🤣🤣 The fact is, Dar is a slum port ina meli moja pekee ambayo inatoka direct from China. Mombasa inazo zaidii ya kumi. Sasa hata sijui unabishana nini.

Zuzu haujielewi...achana na namba hizo twende sokoni...

Kunyaland meli 10 direct from china ila kenge wenzio wanakuja kununua viatu na nguo KKoo ambako kuna meli moja tu ya direct from china.

Hizo meli za kunyaland zinasafirisha nini kutoka China?!!! Mbona watu wa kunyaland wanakuja kununua vitu KKoo?
 
Viatu pair tatu imekuvirisha kichwa. Bongoslum ni LDC and is not charged for tariffs by China. Sasa wakenya kadhaa wakigundua hio loophole inakua ni nchi nzima inakujia viatu Kariakoo. 😄
 
NairobiWalker
Read comment section of this video down here that was recently posted, see how Kenyans are all over internet bad mouthing Tz, is it jealous? Why so much hate and bitter?
The case is between SADC countries but Kenyans are here bad mouthing Tanzania even by telling lies
When we say Kenyans hate Tanzania with all their hearts, mnasema tunaongea sana.
Look at your fellow Kenyans

View: https://youtu.be/pCgPdLz6eSE?si=4Uj8O6KCyDvddNET
 
Tumia akili zuzu wewe.... Kkoo inashusha meli moja kila mwezi, bado kuna meli nyingine China na maeneo mengine kushusha mzigo kkoo.

Sijaongelea sehemu nyingine hapo ni special kwa kkoo only. Hilo soko la Ubungo ndio lita ongeza volume kwenda meli 3 hadi 5. Hizo ni special kwa wafanyabiashara wa hapa ndani.

Sasa niambie kwa kunyaland mna wafanyabiashara ambao wameagiza hata container 5 kwa pamoja? Hizo direct ship from china to msa huwa zinashusha Nini hapo? Unajua maana ya dedicated direct ship?
Wakenya waagize container kwa pamoja?
Ile greedy na selfishness iliyopo Kenya ukiongeza na ukabila uliokomaa?

Yaani mkenya bora afanye biashara na mzungu ila sio mkenya mwenzake
 
Viatu pair tatu imekuvirisha kichwa. Bongoslum ni LDC and is not charged for tariffs by China. Sasa wakenya kadhaa wakigundua hio loophole inakua ni nchi nzima inakujia viatu Kariakoo. 😄

Mimi sijakataa yote hayo...

Ila mbona mko na meli 10 direct from china and yet mnakuja kununua viatu from Tanzania ambao wana meli moja tu direct from China!?

Na kasongo aliwabeba ufala kweli.. tariffs kwa LDC wanasamehewe kwenye exports kuingia China...sio kutoa mzigo toka China kwenda LDC... Mtadanganywa Hadi lini nyinyi ng'ombe!?
 
Wakenya waagize container kwa pamoja?
Ile greedy na selfishness iliyopo Kenya ukiongeza na ukabila uliokomaa?

Yaani mkenya bora afanye biashara na mzungu ila sio mkenya mwenzake

Hao jamaa ni wapumbavu sana...wanadhani mchina ni mjinga kuweka hub yake Ubungo. Ndio Rais wao zuzu wa mwisho kusema TZ ni LDC akidhani atahamisha soko la China kutoka TZ.

Kitu hawajui ni kwamba kuna Watanzania wengi tu wanamiliki viwanda ndani ya ardhi ya China na ndio wanafanikisha mambo hayo. Mchina mwenyewe ni mtu wa kufanya research ya masoko hawezi kutoka Dar kwa propaganda uchwara... Viwango walivyofikia wafanyabiashara wa KKoo kwa China ni vya juu mno.
 
Mimi sijakataa yote hayo...

Ila mbona mko na meli 10 direct from china and yet mnakuja kununua viatu from Tanzania ambao wana meli moja tu direct from China!?

Na kasongo aliwabeba ufala kweli.. tariffs kwa LDC wanasamehewe kwenye exports kuingia China...sio kutoa mzigo toka China kwenda LDC... Mtadanganywa Hadi lini nyinyi ng'ombe!?
Wakenya wangapi wanakujia viatu Kariakoo? Wanajaza hata trailer moja au ni watu wakubeba mzigo na basi.
 
Back
Top Bottom