NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,747
- 49,632
Ogopa sana anything UNREGULATED !
Wakenya wangapi wanakujia viatu Kariakoo? Wanajaza hata trailer moja au ni watu wakubeba mzigo na basi.
Mbona unaulizwa maswali za kipuzi, eti meli kumi zinaleta nini, ju meli zinapaswa kubeba viatu pekee ama? 🤣🤣Hata kama mzigo ni wa kubeba kichwani tu bado ni indicator nzuri kwa biashara ya Tanzania.
Hizo meli kumi zinaleta nini kunyaland kama meli moja tu ya Tanzania inawapa maisha wafanyabiashara wenu kuja kuwalangua huko!?
Mbona unaulizwa maswali za kipuzi, eti meli kumi zinaleta nini, ju meli zinapaswa kubeba viatu pekee ama? 🤣🤣
Wenyew wanasema hii ndo freedom 😂Ogopa sana anything UNREGULATED !
Account moja kutoka TikTok imekua watu wanagombania. 🤣🤣 Punguza upuzi broMeli kumi kutoka China kwa mwezi...bado mnagombania viatu kutoka Tanzania ambao wanapata meli moja kutoka China...
Na bado source ya viatu na nguo ni huko huko China... Wewe unaona ni kawaida!?
Viatu pair tatu inakupa kiburi. As if nyinyi hamchukui mzigo Kenya.Meli kumi kutoka China kwa mwezi...bado mnagombania viatu kutoka Tanzania ambao wanapata meli moja kutoka China...
Na bado source ya viatu na nguo ni huko huko China... Wewe unaona ni kawaida!?
NairobiWalker
Read comment section of this video down here that was recently posted, see how Kenyans are all over internet bad mouthing Tz, is it jealous? Why so much hate and bitter?
The case is between SADC countries but Kenyans are here bad mouthing Tanzania even by telling lies
When we say Kenyans hate Tanzania with all their hearts, mnasema tunaongea sana.
Look at your fellow Kenyans
View: https://youtu.be/pCgPdLz6eSE?si=4Uj8O6KCyDvddNET
Hata freedom yenyewe lazima iwe Regulated ! Lasivyo itakua kitu holela.Wenyew wanasema hii ndo freedom 😂
First, I thought the comment section is full of Kenyans I found just a handful of Kenyans giving opinions just like people from other countries. Or maybe you can screenshot those hateful comments that you only seem to see.
Secondly, you love playing victim so much - our two countries love attacking each other. There are so many videos about Kenya that don't involve Tanzania with tanzanians bad-mouthing Kenya. For you, it's not even comments, your people have opened whole YouTube channels dedicated on badmouthing Kenya. Look at these examples. You just love complaining and playing victim
Tazama channel ya huyu jamaa. 90% ya content is about bashing Kenya.
View: https://www.youtube.com/watch?v=RzbLY1IQHt4&t=84s
kuna mwengine huwa na mapua kubwa nimesahau channel yake. Kila saa negativity towards Kenya.
You even spend parliament sessions whining about Kenya
View: https://www.youtube.com/watch?v=8OGjYiVFo-E&t=22s
Soma comments hapa
View: https://www.youtube.com/watch?v=bmiUvzIEZbQ