Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dhaka Bangladesh View attachment 3315797

Mbeya city Tanzania 🤣🤣🤣View attachment 3315799
Mombasa. 👇🏾
IMG_6821.jpeg
IMG_6822.jpeg
🤣🤣🤣🤣 hii mombasa ni mavi matupu
 
Middle class za Dar utawezana nazo au unajifurahisha. This uswazis the likes of Tandales are the poorest settlements in the city. This is where poor people live. So basically makazi ya watu maskini Nairobi Ndio makazi mabovu zaidi ulimwenguni. 🤣🤣🤣🤣
And these poor people live everywhere 😄😄😄😄
Screenshot_20250326-192406.png
Screenshot_20250326-192335.png
Screenshot_20250326-192423.png
Screenshot_20250326-192533.png
 
Economic growth kila siku hawa mafala huwa wanaiweka Tanzania ahead lakini hawaoneshagi kipi kinachokua at the end of the day, ila nchi kama Kunyaland isioweza hata kulipa mishahara bila donations wanazipa numbers kubwa lakini kwa ground ni kubadi

View: https://x.com/IMFAfrica/status/1915746373980590239?t=x6lyoyDPeDBJuarVigT-rg&s=19

Ukiona trends za economic growth walizoweka last three years halafu na hizi GDP figures walizoweka ni uongo mtupu. Utagundua hizo namba wanazipachika. World oder. Kuna Agenda zao.
 
Vingunguti zote hizo ni uswazi mzee. Kwani wewe kwako Dar ni vingunguti, chang’ombe na tandale au.? 🤣🤣🤣🤣 Dar three times larger than Naikundu. Tumia google. Mana kila leo unaleta picha za vingunguti. 🤣🤣🤣

Nairobi inatoshana tu na Kinondoni district. 🤣🤣🤣
Bongolala, Dar ni slum kuanzia Vingunguti, Manzese, Chang'ombe, Keko, Temeke, Jangwani, Kigogo, Mburahati, Tandika, Mwananyamala, Magomeni, Buguruni, Yombo na maeneo mengine mengi. Can't mention all of them
 
Hizo zote ni uswazi za Dar budaa 🤣🤣🤣 the Problem ni kwamba Zina face City Ndio mana zipo visible. Hizo places they never been middle class areas.

Temeke huijui Temeke sio uswazi na wala hujawahi kuiona temeke. 🤣🤣🤣
Temeke ni mji kabisa unaojitegemea, unazo business centers zake, uswazi wake, mitaa ya kishua yake, buss stands zake, and it is far from the city center, hakuna picha yoyote iliyowahi kupigwa aerial ambayo inaonyesha temeke ishawahi kupostiwa humu. 🤣🤣🤣 kwahiyo wewe Temeke huijui
 
Vingunguti zote hizo ni uswazi mzee. Kwani wewe kwako Dar ni vingunguti, chang’ombe na tandale au.? 🤣🤣🤣🤣 Dar three times larger than Naikundu. Tumia google. Mana kila leo unaleta picha za vingunguti. 🤣🤣🤣

Nairobi inatoshana tu na Kinondoni district. 🤣🤣🤣
Mtandao wake unasoma 3G! 😂😂😂
 
Hizo zote ni uswazi za Dar budaa 🤣🤣🤣 the Problem ni kwamba Zina face City Ndio mana zipo visible. Hizo places they never been middle class areas.
Good. Sasa kama hii ni slum Mombasa
IMG_6822.jpeg

And this one here ni uswazi (slum) in Dar
images - 2025-04-26T012824.599.jpeg

Tell me why the one in Mombasa is referred to as a slum and the other one in Dar isn't when these places look the same in everything? Tell me any slight difference between these two places ndio tujue why one should be called a slum while the other one shouldn't be
 
Hizo Ndio maeneo mbovu za Dar and they even far much better than your slums where people wanaishi within mabaties kama kuku. 🤣🤣🤣
Hayo maeneo mabovu that you don't want to call slums yametapakaa Kila mahali, tofauti na Nairobi where slums are found in specific places
 
Good. Sasa kama hii ni slum Mombasa View attachment 3315823

And this one here ni uswazi (slum) in Dar
View attachment 3315849

Tell me why the one in Mombasa is referred to as a slum and the other one in Dar isn't when these places look the same in everything? Tell me any slight difference between these two places ndio tujue why one should be called a slum while the other one shouldn't be
Kawaulize google kaka, me sio nilioandika . 🤣🤣🤣🤣
 
Hayo maeneo mabovu that you don't want to call slums yametapakaa Kila mahali, tofauti na Nairobi where slums are found in specific places
Hayajatapakaa kila mahali acha kutunga uongo, hayo maeneo yapo pembeni ya city city center Ndio mana ni rahisi kuonekana. Kama yasinge kuwepo hayo usingejua kama Dar kuna uswazi. Kwasababu picha zote aerial zina cover those places.
 
Back
Top Bottom