AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,283
- 3,200
Ebu tuonyeshe hiyo dedicated ship direct to Tanzania tuone. Ama ni mambo za umbea tu Kama kawaida yenu?
Umbea ni ule wa bwana nimetengaa
Ebu tuonyeshe hiyo dedicated ship direct to Tanzania tuone. Ama ni mambo za umbea tu Kama kawaida yenu?
Hii KMTC si ndio ikona direct shipping line to Dar from China. Sasa we jua kabla waamue kufika Dar, walikua washa anza safari za Mombasa Port. 🤣 🤣Umekula? Naona una reply mara mbili mbili...
Au ndio mambo ya fuliza ..simu unatumia bila kujiamini....
Ingekuwa mna leta hata container 5 tu za viatu kenge wenzako wasingekuwa wanakimbilia KKoo kufunga mzigo.
Land grabber. 😂😂😂Umbea ni ule wa bwana nimetengaa
huna unachokubali wewe hata kama hujakula utasema umekula wakati tunajua hujakula leo.Sasa ona desperation inakufanya unapost content creators ndio ujiliwaze.
Eti umesema target yenu ni meli tatu kwa mwezi. Enyewe mkona a long way to go, ebu ona Mombasa port ikona direct lines ngapi yet dar is a slum port ina moja pekee amabayo ilianzishwa juzi tu. 🤣 🤣Umekula? Naona una reply mara mbili mbili...
Au ndio mambo ya fuliza ..simu unatumia bila kujiamini....
Ingekuwa mna leta hata container 5 tu za viatu kenge wenzako wasingekuwa wanakimbilia KKoo kufunga mzigo.
Woow!.. who dat?
Metropolitan Area is a continuous urban area. Wacha ushamba oyaaa.hiyo ni 50km from Dar CBD. maana halisi ya metropolitan city.
How many people will be employed in that little clothes/shoes store?Nafurahia employment. Another source of Tax revenue and visibility around the world.
Kenya has many HNWI, ni vile tu majority don't flex publicly so ni ngumu kujua.Woow!.. who dat?
EACLC East Africa Commercial & Logistics Center ya pale ubungo ni pigo kubwa kwa kunyan,hizi heka heka zote ni sababu tu wanataka ile mall iwepo kwao,kitu ambacho tumewin kariakoo tayari inahudumia zambia,malawi,congo na kundudwellers wenyewe,ile itakapokua tayari tutegemee heka heka kama za ilivyokua tulipozindua BRT wakapiga make up,au uzinduzi wa sgr ukaaanzisha maandamano ukunyan the same week tuliyozinduaNi catch feelings kwa sababu ya huyo actor na copycat!? Never..not a bit..
Huyo copycat unajua kwa nini kila anapoenda anataka kusalimia kwa lugha ya wenyeji!? Hata ili siku ya Diwali kwa wahindi akajikaza kusalimia kihindi..anasalimia kwa Kikuyu kuliko gikuyu wenyewe...kiluhya kuliko kina wetaa...hii amecopy kwa JPM
Copycat kila anapoenda ni kusema ametenga Hela...ametengaa Hela...hii pia amecopy kwa JPM..hakujakuwa na msamiati huo before hapo kunyaland...kwa upuuzi wake wa copy copy Hadi anaitwa Mr nimetengaa...poor him.
Huyo ni actor armature...hilo igizo na wakalee wenzie hapo China lilikuwa poorly choreographed...yule muuliza swali alitengenezwa...ujinga kaongo hakujua script yake ikae wakati gani...ni kama alikuwa anaomba usaidizi wa maneno amesahau alichokaririshwa....mambo ya kuambiwa kushusha ushuru na kusema LDC haviendani...ishu ilikuwa ni kuhusu imports..not exports...ujinga mwingine jamaa alikuwa na itinerary na route plan ya msafara wote na kujua nani atabaki China ili waendelee kufanya uzandiki....kwa mkutano kama ule hata kuwe na security check and clearance namna gani bado a random guy hawezi directly kumpelekea Rais zawadi na kumpa mkononi bila kupitia kwa security personnel...ni sawa na igizo la kunywa kahawa au muhindi wa kuchoma..
Bado Tanzania itaendelea ku supply mzigo kunyaland kutoka China...na hii ni kwa sababu Tanzania Ina wafanyabiashara wakubwa wengi na wana Hela kiasi Cha kuwezesha kampuni ya meli kufungua spesho route ya meli from china to TZ direct. Hizo blaa blaa za kasongo ni bure tu.... Ni ukora wake na utapeli kwa ng’ombe zake za kibera kama kawaida.... Kwishaaaa....
Wazee wa kuongeza sifuri haoUmekula? Naona una reply mara mbili mbili...
Au ndio mambo ya fuliza ..simu unatumia bila kujiamini....
Ingekuwa mna leta hata container 5 tu za viatu kenge wenzako wasingekuwa wanakimbilia KKoo kufunga mzigo.
Kenya when they see this don't like. Tanzania to final
we fala kwani hapo sio continuous acha ujinga.Metropolitan Area is a continuous urban area. Wacha ushamba oyaaa.
Kuna mmoja alimfata Sama boy 255 PM amuoneshe chimbo la chupi, bad enough za mtumba na ana kamdomo uyooo🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Umekula? Naona una reply mara mbili mbili...
Au ndio mambo ya fuliza ..simu unatumia bila kujiamini....
Ingekuwa mna leta hata container 5 tu za viatu kenge wenzako wasingekuwa wanakimbilia KKoo kufunga mzigo.