Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha waje kukwambia gari sii za Kenya ni za China.😂😂😂
Hehehe 😂.

Mimi kitu huwa inanifurahisha ni kwamba anytime a Chinese want to set up a serious business lazima akuje Kenya. Kule Vumbistan you will only find poor Chinese who do hawking.
 
Eti Ngumba estate, Riruta na Uthiru ni slums. 🤣🤣🤣 Hizo places zikona middle class wengi than almost all neighborhoods in dar is a slum.
The same people will tell you this part of Dar is not a slum😂😂🤣

1745575388477.jpeg
 
Yule actor na copycat wa kunyaland amesema amezungukwa na majirani LDC...Sasa anataka China akawekeze miradi mikubwa ya kutengeneza EV ili amuuzie nani Sasa na amesema Hela hakuna kwa majirani!?
Umecatch feelings hadi huwezi fikiria critically. Anyway hio ni shauri yako.
 
l love traveling mate, so should you.
I travel frequently, be it by Bus, Marine, Air, Train or drive myself to different destinations.
Of all , I love traveling by Bus tonight.
In East Africa , it's only Tanzania with advanced Transport system, infrastructure and utilities. Nyie mnasafiri kwenye hayo malori na nganya disorganized.
View attachment 3314934View attachment 3314935View attachment 3314936View attachment 3314937View attachment 3314939View attachment 3314941View attachment 3314942View attachment 3314943View attachment 3314944
Hapa umeua kabisa hawezi tia mguu
 
Umecatch feelings hadi huwezi fikiria critically. Anyway hio ni shauri yako.

Ni catch feelings kwa sababu ya huyo actor na copycat!? Never..not a bit..

Huyo copycat unajua kwa nini kila anapoenda anataka kusalimia kwa lugha ya wenyeji!? Hata ili siku ya Diwali kwa wahindi akajikaza kusalimia kihindi..anasalimia kwa Kikuyu kuliko gikuyu wenyewe...kiluhya kuliko kina wetaa...hii amecopy kwa JPM

Copycat kila anapoenda ni kusema ametenga Hela...ametengaa Hela...hii pia amecopy kwa JPM..hakujakuwa na msamiati huo before hapo kunyaland...kwa upuuzi wake wa copy copy Hadi anaitwa Mr nimetengaa...poor him.

Huyo ni actor armature...hilo igizo na wakalee wenzie hapo China lilikuwa poorly choreographed...yule muuliza swali alitengenezwa...ujinga kaongo hakujua script yake ikae wakati gani...ni kama alikuwa anaomba usaidizi wa maneno amesahau alichokaririshwa....mambo ya kuambiwa kushusha ushuru na kusema LDC haviendani...ishu ilikuwa ni kuhusu imports..not exports...ujinga mwingine jamaa alikuwa na itinerary na route plan ya msafara wote na kujua nani atabaki China ili waendelee kufanya uzandiki....kwa mkutano kama ule hata kuwe na security check and clearance namna gani bado a random guy hawezi directly kumpelekea Rais zawadi na kumpa mkononi bila kupitia kwa security personnel...ni sawa na igizo la kunywa kahawa au muhindi wa kuchoma..

Bado Tanzania itaendelea ku supply mzigo kunyaland kutoka China...na hii ni kwa sababu Tanzania Ina wafanyabiashara wakubwa wengi na wana Hela kiasi Cha kuwezesha kampuni ya meli kufungua spesho route ya meli from china to TZ direct. Hizo blaa blaa za kasongo ni bure tu.... Ni ukora wake na utapeli kwa ng’ombe zake za kibera kama kawaida.... Kwishaaaa....
 
Back
Top Bottom