Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magical Kenya

Image
Image
 
Ni catch feelings kwa sababu ya huyo actor na copycat!? Never..not a bit..

Huyo copycat unajua kwa nini kila anapoenda anataka kusalimia kwa lugha ya wenyeji!? Hata ili siku ya Diwali kwa wahindi akajikaza kusalimia kihindi..anasalimia kwa Kikuyu kuliko gikuyu wenyewe...kiluhya kuliko kina wetaa...hii amecopy kwa JPM

Copycat kila anapoenda ni kusema ametenga Hela...ametengaa Hela...hii pia amecopy kwa JPM..hakujakuwa na msamiati huo before hapo kunyaland...kwa upuuzi wake wa copy copy Hadi anaitwa Mr nimetengaa...poor him.

Huyo ni actor armature...hilo igizo na wakalee wenzie hapo China lilikuwa poorly choreographed...yule muuliza swali alitengenezwa...ujinga kaongo hakujua script yake ikae wakati gani...ni kama alikuwa anaomba usaidizi wa maneno amesahau alichokaririshwa....mambo ya kuambiwa kushusha ushuru na kusema LDC haviendani...ishu ilikuwa ni kuhusu imports..not exports...ujinga mwingine jamaa alikuwa na itinerary na route plan ya msafara wote na kujua nani atabaki China ili waendelee kufanya uzandiki....kwa mkutano kama ule hata kuwe na security check and clearance namna gani bado a random guy hawezi directly kumpelekea Rais zawadi na kumpa mkononi bila kupitia kwa security personnel...ni sawa na igizo la kunywa kahawa au muhindi wa kuchoma..

Bado Tanzania itaendelea ku supply mzigo kunyaland kutoka China...na hii ni kwa sababu Tanzania Ina wafanyabiashara wakubwa wengi na wana Hela kiasi Cha kuwezesha kampuni ya meli kufungua spesho route ya meli from china to TZ direct. Hizo blaa blaa za kasongo ni bure tu.... Ni ukora wake na utapeli kwa ng’ombe zake za kibera kama kawaida.... Kwishaaaa....
What a comeback 💪💪💪💪💪💪💪
 
Too many words inaonyesha tu bado umecatch feelings. Viatu mbili tatu ndio unaita mzigo. Ziara ya Ruto ya China naona imewauma sana, last mlisema hakupatana na president na alinyimwa pesa, leo naona munanyongwa na wivu ju amepata deals kibao za pesa kubwa.

Hakuna mtu wa kumuonea wivu huyo tapeli wa kishamba...copycat and actor..

Naona unaanza kuhesabu idadi ya vifaranga kabla hata kuku hajamaliza kuatamia...relax kwanza implementation ya hizo ngonjera za China zianze.

Hizo hizo pair tatu za viatu ndio zimefanya China iweke dedicated ship direct to Tanzania kila mwezi..bado shipping operators wengine wanaleta meli zao.

Soko la Ubungo likianza tutaenda Hadi meli 3 kwa mwezi...Tena hilo ni kadirio la chini.
 
They will be implemented na utakua tu hapa kujionea kama kawaida. Sasa tusipumue ju ya viatu pair tatu. 🤣
 
Hizo hizo pair tatu za viatu ndio zimefanya China iweke dedicated ship direct to Tanzania kila mwezi..bado shipping operators wengine wanaleta meli zao.
Ebu tuonyeshe hiyo dedicated ship direct to Tanzania tuone. Ama ni mambo za umbea tu Kama kawaida yenu?
 
Ebu tuonyeshe hiyo dedicated ship direct to Tanzania tuone. Ama ni mambo za umbea tu Kama kawaida yenu?
Walipata moja tu juzi juzi, yet Mombasa port ikonazo kama kumi. Unajua shida ya kua maskini ni eti kuna vitu ukipata unafurahia yet wengine wanaona tu ni vya kawaida.
 
Hakuna mtu wa kumuonea wivu huyo tapeli wa kishamba...copycat and actor..

Naona unaanza kuhesabu idadi ya vifaranga kabla hata kuku hajamaliza kuatamia...relax kwanza implementation ya hizo ngonjera za China zianze.

Hizo hizo pair tatu za viatu ndio zimefanya China iweke dedicated ship direct to Tanzania kila mwezi..bado shipping operators wengine wanaleta meli zao.

Soko la Ubungo likianza tutaenda Hadi meli 3 kwa mwezi...Tena hilo ni kadirio la chini.
Mombasa port ikona hizo direct shipping lines zaidii ya kumi, sasa unaweza jijazia zinaingia meli ngapi kwa mwezi. Nyinyi bado mko kwa meli moja na hutaki tupumue.
 
Back
Top Bottom