Excuse me say it again loudly please?Kenya hakuna Chinese hawkers kama bongoslum. Pole sana.
View: https://youtu.be/pVRxhOG0e0s?si=tOKBgIlsghgH_W93
Excuse me say it again loudly please?Kenya hakuna Chinese hawkers kama bongoslum. Pole sana.
Ati Mgaagaa na Umbwa😂😂🤣😂.
Kuna mtu pia Alimuita Mganga wa Pua.
Yes, that Store is the first one in East Africa. Nyinyi kukula na Adidas will be 40yrs later.
Wewe ndio ulete zote na Remittances ziwemoEbu tuonyeshe list za hizo exports zetu tuone Kama Remittance iko ndani.
Unfortunately am a student of African history… you can’t lie to me. Your anthem was a regional copycat agreement in support of South Africa freedom struggle (South Africa, Tanzania , Zambia, Zimbabwe and Namibia ). Namibia and Zimbabwe later created their own after South Africa was freed. The Nkosi sikeleli Africa tune was created in 1897 when Tanganyika was still believing in magical waters of Kinjeketile 🤣🤣.. and don’t have me start about the flag . Wacha ujinga … but on the contrary, Kenya gave South Sudan 🇸🇸 their flag. Facts!Malawi is just a small country like yours, I can't talk about them, ask SA people where dd they borrow their national flag colours and anthem as well?
Too many words inaonyesha tu bado umecatch feelings. Viatu mbili tatu ndio unaita mzigo. Ziara ya Ruto ya China naona imewauma sana, last mlisema hakupatana na president na alinyimwa pesa, leo naona munanyongwa na wivu ju amepata deals kibao za pesa kubwa.Ni catch feelings kwa sababu ya huyo actor na copycat!? Never..not a bit..
Huyo copycat unajua kwa nini kila anapoenda anataka kusalimia kwa lugha ya wenyeji!? Hata ili siku ya Diwali kwa wahindi akajikaza kusalimia kihindi..anasalimia kwa Kikuyu kuliko gikuyu wenyewe...kiluhya kuliko kina wetaa...hii amecopy kwa JPM
Copycat kila anapoenda ni kusema ametenga Hela...ametengaa Hela...hii pia amecopy kwa JPM..hakujakuwa na msamiati huo before hapo kunyaland...kwa upuuzi wake wa copy copy Hadi anaitwa Mr nimetengaa...poor him.
Huyo ni actor armature...hilo igizo na wakalee wenzie hapo China lilikuwa poorly choreographed...yule muuliza swali alitengenezwa...ujinga kaongo hakujua script yake ikae wakati gani...ni kama alikuwa anaomba usaidizi wa maneno amesahau alichokaririshwa....mambo ya kuambiwa kushusha ushuru na kusema LDC haviendani...ishu ilikuwa ni kuhusu imports..not exports...ujinga mwingine jamaa alikuwa na itinerary na route plan ya msafara wote na kujua nani atabaki China ili waendelee kufanya uzandiki....kwa mkutano kama ule hata kuwe na security check and clearance namna gani bado a random guy hawezi directly kumpelekea Rais zawadi na kumpa mkononi bila kupitia kwa security personnel...ni sawa na igizo la kunywa kahawa au muhindi wa kuchoma..
Bado Tanzania itaendelea ku supply mzigo kunyaland kutoka China...na hii ni kwa sababu Tanzania Ina wafanyabiashara wakubwa wengi na wana Hela kiasi Cha kuwezesha kampuni ya meli kufungua spesho route ya meli from china to TZ direct. Hizo blaa blaa za kasongo ni bure tu.... Ni ukora wake na utapeli kwa ng’ombe zake za kibera kama kawaida.... Kwishaaaa....
Kati ya mzungu na Mkenya , Nani anajua vizuri?… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣… I wonder which mzungu was that…
Chokoraa huyo, kiatu anayo moja.
Sawa non natoWanaojipendekeza ni nyinyi. Mnaona kama China ni yenu, Africa Kusini ni yenu. Sisi we just do business with anyone. Ni mara ngapi nimewaambia humu biashara haina urafiki? Halafu na hiyo kujipendekeza yote bado mnachukiwa tu sikuizi SA hawataki story zenu.🚮🚮
This is what umekuwa ukiquote and there is no any service export hapo. Our 2023 10 month export of goods ndio ni $8B. Ukiongeza services hapo inakuwa almost $20B.Wewe ndio ulete zote na Remittances ziwemo
Mgaagaa na umbwa.Sawa non natoView attachment 3315192