sasa wewe mtoto wa kiarabu MC Alger yuko chumbani kwako machine haisimami tusemaje sasa 😁kwa simba hii ilivo mbovu yani mwarabu anatolewa penalty wanasimba wameshikilia roho zao 😂😂😂😂😂
sasa wewe mtoto wa kiarabu MC Alger yuko chumbani kwako machine haisimami tusemaje sasa 😁kwa simba hii ilivo mbovu yani mwarabu anatolewa penalty wanasimba wameshikilia roho zao 😂😂😂😂😂
Yakija humu yanasema hayasikilizi uongo wa wanasiasa.Akili zao zimeshikiliwa na wanasiasa hawa. utaona Raila aki join kambi ya Ruto na wao wote wanamfuata kichwa kichwa yaani wanapenda kuwafuata wanasiasa hapo matakoni
maneno 10 chukua 1 songaYakija humu yanasema hayasikilizi uongo wa wanasiasa.
Kuna hii spana wamepigwa ningetegemea wangepost humu. 😂😂😂maneno 10 chukua 1 songa
Kwanini hupendagi ukweli wewe? Dunia hii ya leo bado unaishi kizamani, haya pinga na hii 👇👇Fake news mgagaa na umbea.
Why dishonor the good communist republic yet your foul leaders are desperately begging there as we speak?One is a fake box from China and the other was built right here in Kenya
Nimekumbuka hii. 😂😂😂Store 😀
l love traveling mate, so should you.Yani boarding a bus ndio inakufanya uropokwe haya yote? Enyewe Vumbistan mko nyuma. No wonder Kuna mmoja we alipanda basi kuenda Moshi hatukupumua humu.😂
Maasai bwana, shidako huwa primitivity ama ignorance? You can’t even see the lies in this LinkedIn post. When did Kenya build Nairobi Mombasa Expressway? Ama wewe bora umeona basi hiyo Tosha.Kuna hii spana wamepigwa ningetegemea wangepost humu. 😂😂😂
View attachment 3314888
Yes, that Store is the first one in East Africa. Nyinyi kukula na Adidas will be 40yrs later.Store 😀
Nini cha ajabu hapa?l love traveling mate, so should you.
I travel frequently, be it by Bus, Marine, Air, Train or drive myself to different destinations.
Of all , I love traveling by Bus tonight.
In East Africa , it's only Tanzania with advanced Transport system, infrastructure and utilities. Nyie mnasafiri kwenye hayo malori na nganya disorganized.
View attachment 3314934View attachment 3314935View attachment 3314936View attachment 3314937View attachment 3314939View attachment 3314941View attachment 3314942View attachment 3314943View attachment 3314944
Huyu mwamba mbn kmy sn.Nimekumbuka hii. 😂😂😂
![]()
Mtakubali tu - LG opens first East Africa laundry shop in Nairobi
Hamna namna ya kupenya soko la Afrika Mashariki na Kati bila baba lao Kenya kutia saini humo. ========= Global electric giant LG Electronics has opened its first East Africa’s laundry shop in the country as it eyes the growing demand for washing services among low income and middle income...www.jamiiforums.com
Hamna akili masterFake news mgagaa na umbea.
Wana akili finyu mnoHawa wakunya nawafahamu vizuri tuu ukimkuta town kapiga suti na tie hajaoga na jioni anarudi kwenye kibanda chake kibera kama afsa fulani hivi
Kunyan no one hate u,chuki zenu za kikabila ndizo zinawafanya muanze kuchukiana wenyewe,na kwa sababu mmezaliwa na kukuzwa kwenye malezi ya namna hiyo basi Psychology yenu ipo kwenye kumchukia kila mtu,chuki na wivu unavuka hadi nje ya kiinchi chenu kichafuThe problem with Bongolalas is they want everyone to hate Kenya because they hate Kenya.