Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Another guess work, unaulizwa a very simple question unajibu na hearsays. Weka revenue, hapa hatudeal na guesswork na assumptions.We fala unataka kunifundisha maana ya maneno tena.? 🤣🤣🤣🤣. Serikali imetia pesa na mwekezaji binafsi ametia pesa. Joint venture = ubia. Tz gvt katia 16% hapo TWIGA MINING COMPANY.
Ni kampuni inayojitegemea. the biggest in the region. Ikiwa serikali tu anapewa $888 million annually, what about their annual revenue.? 🤣🤣🤣🤣 hii itabidi u combine kampuni walau kumi kubwa za kenya Ndio zishindane na Twiga mining company alone.
Twende kijana hapa taratibuAnother guess work, unaulizwa a very simple question unajibu na hearsays. Weka revenue, hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
Weka recent numbers, bongolalas tunawajua Kwa guesswork.
Sina cha kukusaidia kijana, we kama umeamua kulia lia tu. 🤣🤣🤣🤣Another guess work, unaulizwa a very simple question unajibu na hearsays. Weka revenue, hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
Naivas revenue in 2024 is ksh 96 billion na inajulikana peupe, tuapatie your revenue numbers for top 5 companies in 2024. Hapa hatudeal na guesswork na assumptions.Sina cha kukusaidia kijana, we kama umeamua kulia lia tu. 🤣🤣🤣🤣
Siendi mbele na kurudi nyuma bwana govi. 🤣🤣🤣 kama umeamua kupigizana kelele. Kwaheri. Sipo hapa kulumbana Bali nipo hapa kuchangia elimu ya ninachokijua kwa Tz.Naivas revenue in 2024 is ksh 96 billion na inajulikana peupe, tuapatie your revenue numbers for top 5 companies in 2024. Hapa hatudeal na guesswork na assumptions.
Bado hujamuwekea Geita Gold Mine GGMSiendi mbele na kurudi nyuma bwana govi. 🤣🤣🤣 kama umeamua kupigizana kelele. Kwaheri. Sipo hapa kulumbana Bali nipo hapa kuchangia elimu ya ninachokijua kwa Tz.
Uende mbele, urudi nyuma hakuna kampuni ya kushindana na Naivas hapo bongoslum in terms of revenue in 2024. Case closed.Siendi mbele na kurudi nyuma bwana govi. 🤣🤣🤣 kama umeamua kupigizana kelele. Kwaheri. Sipo hapa kulumbana Bali nipo hapa kuchangia elimu ya ninachokijua kwa Tz.
Upo tayari kupokea maelekezo yangu? Ninayekujibu ni mimi hapa. Ninakutaka twende kaziUende mbele, urudi nyuma hakuna kampuni ya kushindana na Naivas hapo bongoslum in terms of revenue in 2024. Case closed.
Tanzania central gov debt is 39bil usdFinancial crisis loading, by the time they wake up it will be too late...
Umeamua uombe usaidizi kwa serikali? Kweli Naivas imewaumiza vibaya sana😂😂🤣🤣Katika zile kampuni 5 ulizoomba hii ni kampuni ya 3. TWIGA MINING COMPANY 🤣🤣👇🏾 sasa hii ni balaa kwasababu serikali pekee inapokea $888 million yearly. Sijui growth revenue Yao inakua kubwa kiasi gani. 👇🏾View attachment 3310289.. 👇🏾Barrick Gold Injects $4.24 Billion into Tanzanian Economy Through Twiga Joint Venture Between 2019 and 2024.
GDP ya 2024 bado haijatolewa wewe moongoose. Ngoja June this year ndio utajua GDP ya 2024 ni ngapi.So unachukua GDP ya 2023 ya 79b alafu na debt ya Janurary 2025
Gdp ya 2024 ni 84billion usd
Plus that debt ni national debt sio goverment debt
Goverment debt extrenal ni 26 billion us internal ni 12.2 bil usd View attachment 3310403View attachment 3310404
Hapana! Wapopo wamekubali kuwa Watanzania wako mbele ya muda. Watu wanajua kupiga pamba.Yani harusi pekee inawafanya mnarukwa na akili hivi? Halafu ni Ile Ile Nigeria ambayo huwa mnasema ni ovyo sawa na Kenya ndio mnashobokea hivo?🤣🤣
Mzee tunaendelea mbona mnakimbia 👇 👇 👇 👇Umeamua uombe usaidizi kwa serikali? Kweli Naivas imewaumiza vibaya sana😂😂🤣🤣
Kichaka hicho tunakifyeka muda si mrefu. Sijui mtajificha wapi 🤣🤣🤣🤣GDP ya 2024 bado haijatolewa wewe moongoose. Ngoja June this year ndio utajua GDP ya 2024 ni ngapi.