Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zilikua mbili saivi ni 4, napenda habari kama hizi. Natabiri kufungwa kwa hili loss making airline.
1000005599.jpg
 
This is how Naivas outlets look like. 👇🏾View attachment 3309295View attachment 3309296View attachment 3309297View attachment 3309298View attachment 3309299🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Teargas. Hii takataka haiwezani hata na ALLYS STAR bus company
Hawana tofauti na jambo supermarket.
Tatizo lenu mnaingia kichaa kichaa kwenye Tanzania politics
 
Nageuzaje mjadala? Wewe si ndio umesema tunalia? Wewe si ndio unalazimisha tuonekane tumekosa soko? Ndio nauliza wapi ambapo umesikia tunalia?

Mwisho hoja ni intra-Africa trade kufeli Kwa sababu Nchi zenu zinaongozwa na mbuzi kiasi kwamba Mko radhi kwenda Brazil kununua mahindi na msagirishe Kwa gharama kubwa wakati yapo 🇹🇿 na Zambia.

Na sisi 🇹🇿 hatujawahi kosa soko hata siku Moja as we speak domestic market Kwa Sasa mda wa mavuno inakariba ni 570-800 Tsh/Kg hapo Bado NRFA hawajanunua.
Hahaaa hapo ni mahindi , bado tuna mazao kibao tu tunaexport
 
Watanzania wame sett bar. Huko Nigeria naona wanasema watanzania noma. Tanzania itakuwa center of Fashion. Hili jambo mzee si dogo. Ngoja sasa tusubiri hapa Dar mwezi wa Tano. Dunia kwa sasa itakuwa inatanzama what will happen in Tanzania. Kama walienda wachache tu huko Nigeria je, itakuwaje hapa TZ in full house?
All that just because of a wedding? Mpo aje nyinyi
 
Back
Top Bottom