Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When is soon?

Ogopa Naivas bana, yani kampuni moja imewatoa jasho, intafutiwa group of companies zishakinishwe pamoja just to compete.
Nenda kwalilie Melt sio Mimi niliondika buda. 🤣🤣🤣
Hadi unaleta joint ventures with government, enyewe ogopa Naivas. 🤣🤣🤣
Unanipigia kelele. Hii ni report ya 2017 lake oil ilikua inapiga $1 billion already sahii si ajabu wapo hat $1.5 billion-$2 billion yearly 👇🏾
IMG_6652.jpeg
👇🏾. Meet The 36 Year-Old Entrepreneur Who Built A $1 Billion Oil Company In Tanzania.
 
Hadi unaleta joint ventures with government, enyewe ogopa Naivas. 🤣🤣🤣
Sasa mjomba kwani hiyo sio kampuni.? 🤣🤣🤣🤣 au serikali ukitoa shares Ndio inaondoa uhalali wa kuwa kampuni ya kujitegemea au.? 🤣🤣🤣
 
Sasa mjomba kwani hiyo sio kampuni.? 🤣🤣🤣🤣 au serikali ukitoa shares Ndio inaondoa uhalali wa kuwa kampuni ya kujitegemea au.? 🤣🤣🤣
Unajua maana ya joint venture au unaongea tu fwaaaaa? Na wanaongolea contribution amabyo hata hatujui ni nini. Weka revenue hapa, Wacha kutapatapa.
 
Unajua maana ya joint venture au unaongea tu fwaaaaa? Na wanaongolea contribution amabyo hata hatujui ni nini. Weka revenue hapa, Wacha kutapatapa.
We fala unataka kunifundisha maana ya maneno tena.? 🤣🤣🤣🤣. Serikali imetia pesa na mwekezaji binafsi ametia pesa. Joint venture = ubia. Tz gvt katia 16% hapo TWIGA MINING COMPANY.

Ni kampuni inayojitegemea. the biggest in the region. Ikiwa serikali tu anapewa $888 million annually, what about their annual revenue.? 🤣🤣🤣🤣 hii itabidi u combine kampuni walau kumi kubwa za kenya Ndio zishindane na Twiga mining company alone.
 
Back
Top Bottom