Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But Naivas made more profit than Tanzania Breweries Limited😂😂🤣👇👇

View attachment 3309389
Mwambie akutajie kampuni tatu zenye profit more than KES 2B ucheke. Hiki kitoto hakielewi KES 2B ni Nini maanake hakina mathematical sense kichwani. Labda kinadhani ni 2B ya madafu ya Bongolala.🤣🤣
 
Obama is a Kenyan name but we all know Barrack Obama is American. Umesikia mnyamwezi?
Ikifika kwa Obama, wanakataa sii Mkenya. Hadi ameweka picha yake anakataa sii Mkenya. Mbona asiweke the same logic kwa huyu kijana?🤣🤣
 
Huwa mnasema mtatufungia tusinunue mahindi yenu, Leo hii ndio mmejua mnunuzi ndio boss? 😂😂
Hoja ni intra-Africa trade na jinsi Serikali zenu za kishenzi zinavyotumia Kodi za Wananchi vibaya.

Kwamba ukafuate mahindi Brazil Kwa gharama kubwa kuliko kununua Kwa Nchi jirani ,wewe unaona hapo unawakomoa Kundustan wanauana Kila siku kisa ugali au unaikomoa Tanzania ?

View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1913288855026909196?t=PZqfS1fL181iLi10XwQVvw&s=19

Na hii hoja ilitokea hapa baada ya Malawi kuingia kwenye huo ushenzi 👇👇

View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1913126181127209352?t=ujBMZfn6WzG_RMJzaKm4UQ&s=19
 
Sasa mbona mnalia? Si huwa mnasema mnatulisha? Sasa tukiwapunguzia mzigo wa kutulisha tena mnalia?🤣🤣
 
Nigeria sawa na Kenya? Unaumwa mavi wewe! Tanzania haina bifu na Nigeria kama nyie nyafnyaf...!!
Humu humu huwa mnapost Nigeria ni ovyo alafu mnaongeza kama tu Kenya. Sijayasema haya maneno. Ni maneno yenu wenyewe. Mfano huu.

Screenshot 2025-04-20 112552.png
Screenshot 2025-04-20 112631.png
 
Back
Top Bottom