Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MTOKO WA PASAKA NA KULIOMBEA TAIFA LETU LA TANZANIA 🇹🇿

Karibu Super Dome Masaki Tumuabudu MUNGU wetu Kwa Pamoja Tukiwa Na Watumishi Wa Mungu Na Waimbaji Mbalimbali Kutoka Mataifa Tofauti Tofauti Na Wa Ndani Ya Nchi Ya Tanzania 🇹🇿

Hakuna Kiingilio Chochote, Hii Ni Kwaajili Ya Kusheherekea Kufufuka Kwake Yesu Kristo Baada Ya Mateso Makali, Kufa Na Kufufuka Kwaajili Yetu Wanadamu.

Tunahama kutoka Nigeria tunaingia Tanzania, PASAKA

1745150066619.png

1745150126215.png

1745150185467.png
 
MTOKO WA PASAKA Tanzania ya Moto. Hatupoi. Mtoto wenu kutoka Kenya huyu hapa. Ongeeni sasa

NI MTOKO WA PASAKA 2025 ! APRIL 20 THE SUPERDOME MASAKI​

1745150421662.png
 
Ebu Mwambie akutajie tu kampuni tano in Tanzania that made hiyo profit ya Naivas that they despise. Akikuonyesha nahama JF.

Akitaja nimention tucheke pamoja. 🤣🤣
Me nikiwa busy na mechi ya Simba. Nyie hangaikeni kwanza na hii Melt group. Its revenue is $2 billion yearly. 🤣🤣👇🏾 no Kunyana company can come close, and guess what.? This is local investment.
IMG_6648.jpeg
👇🏾MeTL Group | LinkedIn.
 
Me nikiwa busy na mechi ya Simba. Nyie hangaikeni kwanza na hii Melt group. Its revenue is $2 billion yearly. 🤣🤣👇🏾 no Kunyana company can come close, and guess what.? This is local investment. View attachment 3310266👇🏾MeTL Group | LinkedIn.
Mambo ya Azam uliachana nayo?😂🤣😂. Alafu wamesema soon they will cross $2B, meaning they are still far from getting to that number. Now I want to ask you something, is this the biggest company in Tanzania by revenue?
 
Wewe si ulietaka kampuni tano zenye zima generate over 2 billion kenya sh.? 🤣🤣🤣

Again kwani Azam uliishinda.? 🤣🤣🤣 kampuni zote mbili ni bigger that whatever you brought here.
 
Mambo ya Azam uliachana nayo?😂🤣😂. Alafu wamesema soon they will cross $2B, meaning they are still far from getting to that number. Now I want to ask you something, is this the biggest company in Tanzania by revenue?
Katika zile kampuni 5 ulizoomba hii ni kampuni ya 3. TWIGA MINING COMPANY 🤣🤣👇🏾 sasa hii ni balaa kwasababu serikali pekee inapokea $888 million yearly. Sijui growth revenue Yao inakua kubwa kiasi gani. 👇🏾
IMG_6651.jpeg
.. 👇🏾Barrick Gold Injects $4.24 Billion into Tanzanian Economy Through Twiga Joint Venture Between 2019 and 2024.
 
Me nikiwa busy na mechi ya Simba. Nyie hangaikeni kwanza na hii Melt group. Its revenue is $2 billion yearly. 🤣🤣👇🏾 no Kunyana company can come close, and guess what.? This is local investment. View attachment 3310266👇🏾MeTL Group | LinkedIn.
When is soon?

Ogopa Naivas bana, yani kampuni moja imewatoa jasho, intafutiwa group of companies zishakinishwe pamoja just to compete.
 
Back
Top Bottom