Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumesema mara kibao kwamba wakenya hawana akili wakawa wanabisha 👇👇
Screenshot_20250417_112454_Google.jpg

 
Yaani mko bize mnatafuta confirmation bias toka kwa hawa street thugs raised in projects huko USA. Zero education na hana kitu anajua zaidi ya mambo ya kutengeneza content.

The tattoo kwenye kifua ni ushahidi tosha ni msichana wa aina gani. Na anasema kabisa hawezi kusubiri kurudi nyumbani due to experience yake Africa kwakua Nairobi ni afadhali ya Gaborone Botswana kwakua in Kenya alikuwa anakosa umeme at least mara moja kwa wiki or zaidi. Both of the two countries ni majanga moja ni janga zaidi ya lingine.
Wakitusema vizuri tunatafuta confirmation bias, wakimsema vizuri mtapiga kelele humu Hadi mbingu zishuke. We know you guys. Juzi si mmekuwa mkisherehekea eti Alex Ferguson kawataja? Mzungu yoyote maarufu ataje Kenya alafu tupost humu utaskia eti masters wenu hao.🤣🤣
 
Sasa ninaanze kuzitembelea Accounts za wakenya kwenye Tiktok wanao Import nguo Kutoka Kariakoo Dar es salaam Tanzania kwenda Kenya.

Hii ndio dalili ya kuwa Kenya sasa Wanategemea Kila kitu Tanzania. Siyo Chakula tu

Tunaanza. Guys msinichoke. Maana nikipotea nitachukua muda mrefu kurudi humu. 👇 👇 👇
1. yuvafashona


View: https://www.tiktok.com/@yuvafashona/video/7493208620218207543

Wakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
 
Traveling at night Dar to Mbeya be so epic they say.
Imagine cruising over 850km with this beast ,
And having a break at Iringa for refreshments...
Meanwhile Huko Jamhuri ya magovi wanasafiri na canter za mizigo na masufuria, tazama vyuma hivi.
NB: there are over 50 bus companies ferrying passengers from Mbeya to and From Dar Daily. Most buses now travel at night.. all these buses you see have a digitalized booking and ticketing system regulated by the Authorities.
Of all the countries in east and central Africa, only Tanzanians love themselves and live a better life. Wako watu wamejaa stress na makasiriko na magovi na njaa Kali na ufukara na funza. Halafu wanafosi kuongea kingereza kibovu chenye accent ya kilifi. View attachment 3306867View attachment 3306869
Yani boarding a bus ndio inakufanya uropokwe haya yote? Enyewe Vumbistan mko nyuma. No wonder Kuna mmoja we alipanda basi kuenda Moshi hatukupumua humu.😂
 
Na kwa akili yako unadhani Mkenya anezakuuzia a profitable business? The board of directors sat down and concluded that Bamburi is beyond redemption, that’s when they decided to sell it. Huyo mwarabu has been conned.
He is not conned he has the financial muscle to turn it around unlike you guys mlikula kampuni yote kwa ufisadi. In business the principle is buy low sale high be it shares in a company or any asset hicho ndicho kilichofanyika hapo.
 
You can take all those privileged negros, we don't care. They don't add anything to our culture, economy or any social aspect of our lives. Bora waburundi na wamalawi kuliko hao ....
Habari ya mkosaji hiyo. Walipokuja Bongo siku za COVID hamkunyamaza. Halafu sio eti tunawataka, nakuonyesha tu views za foreigners wanaotembelea hizi nchi uone wanavyoziona maanake hapo utapata unbiased views.
 
Back
Top Bottom