President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,769
- 89,793
Simba SC inakuja huku
Siku zote unaweka picha zako humu, leo kukuuliza car tu unakimbia 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣What are you?.. an investigative reporter?.. get back to playing AI memes..😄
Maneno ya kinywa cha mtu mpumbavu. 🤣🤣🤣🤣.We are a free capitalist country. Anyone is free to come from wherever to make money in Kenya, especially those from war zones and peaceful countries with warzone development levels. 😂
Nairobi is full of neighboring countries' omba ombas and hawkers.
It was inevitable when thousands are streaming in, some of them would be successful hawkers and others successful artists.
Kwani Kasarani si ni donation ya Wa China na funding ni za wachina hadi za kukarabati in 2010 zilitoka hukoMakwapa ilikuwa msaada kutoka kwa mume wenu macho madogo mchina baada ya kuona mnateseka sna kuandaa national events. Ccm haina historia ya kujenga uwanja zaidi ya 30k capacity kitu ambacho tulifanya in the 80s
View: https://youtube.com/shorts/OVCwgLFsFRk?si=i-Hp4X1XRjWmIbhh
Wapi mapovu kutoka wachawi NairobiWalker, nairobae Nicxie mwathadan Teargass n IamLee
Ukona Kasarani ingine na hatujui?Kwani Kasarani si ni donation ya Wa China na funding ni za wachina hadi za kukarabati in 2010 zilitoka huko
Kwahyo unataka Olympic stadium uwe Football stadium?Hivi ndivyo uwanja wa football unafaa kuwa, mambo ya 2km away ni uchafu ambao haustahili mechi kubwa. Makwapa hata mfunge viti 100k lakini haiwezi kupata hizi aura 👇😍😍View attachment 3306514
mpuuzi wewe usokua na akili hapo ni dhaka bangladesh kazi kuokota picha ovyo tu google na kuja kujidanganya humu alaf bado kuna mipumbavu ina like kabisa 😂😂😂😂😂Ghorofa ni nyingi mpaka huwezi amini, okay basi tuseme hapo ni dar 😃
Endelea kushindana na timu za Tanzania.
View: https://x.com/simbasctanzania/status/1912537259317788679?s=46
Sio kila kitu ni mashindano na ushabiki ndugu.tayari muhindi kashaanza kuwajaza upepo wana simba 😂😂😂😂
iko wapi hip irizar 😂😂😂😂 hapa siongelei ushabiki ila najua namna muhindi anavojua kucheza na akili za mashabiki wa simba kawadanganya vitu vingi sana over 9 yrs, aliwadamganya atajenga uwanja wa kisasa na hostel za kisasa haya ziko wapi so far na ni 9 good yrs, billion 20 za hisa mpaka leo anaruka ruka tu kama mkojo wa bar kila akiulizwa anapanic 😂😂😂😂Sio kila kitu ni mashindano na ushabiki ndugu.
Endelea kujifarijiEast Africa indoor arena ipo Rwanda tu.
Arena siyo chumba mzee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Hakuna Indoor Arena Kenya.Endelea kujifariji
Kwamba hapa ni Dhaka Bangladesh?mpuuzi wewe usokua na akili hapo ni dhaka bangladesh kazi kuokota picha ovyo tu google na kuja kujidanganya humu alaf bado kuna mipumbavu ina like kabisa 😂😂😂😂😂