Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwamba hapa ni Dhaka Bangladesh?
🤣🤣🤣🤣View attachment 3306646
Nilikuambia Mombasa itakukosesha usingizi, na bado!
unless niwe siijui mombasa jinga wewe hakuma sehem utanidanganya kuhusu mombasa yani katika miji niliotembea mm hakuna mji wa ovyo tena hovyo kama mombasa afadhal hata hio kisumu kidogo ina nafuu 😂😂😂😂😂😂😂

yani leo ukitumwa modern city basi mombasa haitakiwi hata kutajwa
 
Sasa hivi wanafurika kweli kweli Kariakoo kununua viatu, nguo na bidhaa zingine ili wakauze kwao, na hapa bado pale Ubungo hapajafunguliwa bado. 😂😂😂
wakenya wengi sana wako kariakoo wakinunua nguo, viatu, simu etc na wengi wao ni kutoka mombasa, malindi na nairobi

kuna moja ya jamaa zangu hua akija kununua tshirt hapa bongo anaenda kuuza malindi anaduka la nguo anasema wazi kua tshirt za tanzania ndio wanapenda huko kwao😂😂😂
 
unless niwe siijui mombasa jinga wewe hakuma sehem utanidanganya kuhusu mombasa yani katika miji niliotembea mm hakuna mji wa ovyo tena hovyo kama mombasa afadhal hata hio kisumu kidogo ina nafuu 😂😂😂😂😂😂😂

yani leo ukitumwa modern city basi mombasa haitakiwi hata kutajwa
Sasa itakuaje hovyo na already huamini hapo ni Mombasa?
 
Why do you support oppression and denial of freedoms. Whats the purpose of living in a nice apartment yet you have no control of your life ? Ama unapenda kukaliwa uso na Mama ka chapati..😄😄
north korea iko developed kuliko nchi nyingi sana europe 😂😂😂
na alywas western media ndio hua zinawadanganya sana kuhusu north korea
 
unless niwe siijui mombasa jinga wewe hakuma sehem utanidanganya kuhusu mombasa yani katika miji niliotembea mm hakuna mji wa ovyo tena hovyo kama mombasa afadhal hata hio kisumu kidogo ina nafuu 😂😂😂😂😂😂😂

yani leo ukitumwa modern city basi mombasa haitakiwi hata kutajwa
Alafu unajifanya haukuona hii 😂😂
Umeshtuka 😂😂😂
Mombasa hua inakupa headache lakini hutaki tu kukubali. Sasa ona umepagawa na picha ya Mombasa!🤣🤣🤣
Ndio maana nasemanga Mombasa imekosa tu three blue towers ipite Dar yenu

Sasa fanya hivi, zoom hiyo picha like I've done below.
View attachment 3306520
You see the two buildings I have circled in red? Those are TSS Towers and Bima Towers which sit next to each other along Digo Road. The antenna on top of TSS Tower is even visible in that zoomed image

Here they are (up-close images)
View attachment 3306524View attachment 3306526View attachment 3306527View attachment 3306528View attachment 3306530View attachment 3306531
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=iGY-0b-AKXQ&pp=ygUYS2FtYSBueWVyZXJlIHlvdW5nIGx1bnlh
Wadau wamejua kutumia joka vizuri sana i think Kenyani wakiangalia hii video watauliza hapo ni wapi ila wkiwa wanasoma vibao ndio watajua 😁😁😁 big up lunya na msamiati.

Big fan of Young Lunya, that kid is talented
Check out this track 💯💯
IMG_3982.png

View: https://youtu.be/qHKo6_oOl98?si=p9LAqqyCFyjwAaaO
I knew him from his Khaligraph feature then shortly he was in the hennessy cypher
 
Sasa ninaanze kuzitembelea Accounts za wakenya kwenye Tiktok wanao Import nguo Kutoka Kariakoo Dar es salaam Tanzania kwenda Kenya.

Hii ndio dalili ya kuwa Kenya sasa Wanategemea Kila kitu Tanzania. Siyo Chakula tu

Tunaanza. Guys msinichoke. Maana nikipotea nitachukua muda mrefu kurudi humu. 👇 👇 👇
1. yuvafashona

View: https://www.tiktok.com/@yuvafashona/video/7493208620218207543
 
Kuna mmoja anaitwa Wakimani Tv Original, then angalia video namba saba. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom