Kama kawa yet another group wamekuja benchmarking.
View: https://x.com/konzatech/status/1912064257207783607
we kondoo Uganda kuna roof tile maker mkubwa tuu Kajansi between Entebe and Kampala. Tanzania tile makers wako wengi hatuwezi nunu udongo from Ruiru utukome kabisa.Nakumbuka nilipoenda kubeba clay roofing tiles za nyumba yangu hapo Ruiru niliona lori nyingi sana za Bongolala na Uganda zikija kuchukua mzigo. Hapo nilielezwa hamna kampuni inayotengeneza clay roofing tiles huko. Hii picha niliipiga mwenyewe.
View attachment 3307223
Hao TikTokers wanachoonesha hapo ni mitumba au.? 🤣🤣🤣. Kwanza kariakoo na mitumba.? Wapi na wapi.? Watanzania wanaenda sana china kufunga nguo za special, viatu, cosmetics, gentlemen and ladies accessories, n.k . Mkiacha ujeuri mnaweza kututumia sisi na tukawapa direct connection na wachina mkapiga pesa. Sasa kama unaendelea kuleta ujinga kwenye mambo ya msingi nakusukitikia. 🤣🤣🤣🤣Wakenya wanaimport nguo through kariakoo kisa huku kumepigwa marufuku mtumba kupitia Mombasa. Same way Wakenya wakitaka kumimport gari mzee za 15 years wanaimport through Uganda ama Tanzania na Wana register huko huko.
🤣🤣🤣 huyo shida yake ni mjuzi mno. Ni mpumbavu sana huyo. 🤣🤣🤣.we kondoo Uganda kuna roof tile maker mkubwa tuu Kajansi between Entebe and Kampala. Tanzania tile makers wako wengi hatuwezi nunu udongo from Ruiru utukome kabisa.
Hapa ni Kabul au Torabora?
Bana.🤣🤣Sijaiona Mkenya anafurahiswa kupanda buses Kama hawa wachawi. Ni Kama wengi wao wametoa kijijini ndani penye hakuna hata barabara pikipiki, so wakipata chance ya kupanda gari wanafurahia kweli kweli😂😂
Kama sio hiyo Nyali bridge, vilaza wangesema hapa ni Bangladesh, sio Mombasa😉😛😀😀😀, Yaani imenyonga Dar.,Buxton point phase 2 coming up well, this will be a huge cluster
View attachment 3306748View attachment 3306749View attachment 3306750View attachment 3306751View attachment 3306752View attachment 3306753
Yani nimekuonyesha Lori ya Tanzania ikibeba tiles Ruiru na unapiga kelele eti hamwezi nunua udongo kutoka Ruiru. Najua hujajenga nyumba, Jenga kwanza utajua tu 😂we kondoo Uganda kuna roof tile maker mkubwa tuu Kajansi between Entebe and Kampala. Tanzania tile makers wako wengi hatuwezi nunu udongo from Ruiru utukome kabisa.
Jamaa amejipatia umaarufu mkubwa huko West Africa 🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Showbiz ya Tanzania imeingia Nigeria Huku East Africa tumetawala sasa tunaingia West Africa. Swahilization The West Africa
The African Royal Wedding
✨East Meets West✨
Countdown to the Traditional wedding!!!
JUX & Priscilla Ajoke Ojo
View attachment 3307266
View attachment 3307269
African boy, pictures of the year 😘😘😍😍🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Tanzanian Man and Nigerian Woman Come Together.
Wakenya hawana plan yoyote 🤣 🤣 🤣 🤣
Jux & Priscilla
View attachment 3307271
View attachment 3307272
Sisi tuna wataalam wengi hakuna mgeni kuja kuchukua kazi labda zile ambazo ni za lazima na mara nyingi huwa wanatokea ulaya, America au Asia sio mvunja kuni aje achukue ajira kizembe zembe. Na kwa taarifa yako tulishaanza kampeni ya kuwatimua wageni hasa hawa wavunja kuni wa Africa including Kenyans, wote mtarudi kwenu mpambane na nchi yenu.Yaani unafikiria Kenya tuna ubaguzi kama nyinyi 😂
Nilitaka nimjibu hivi hivi, tatizo hawa watu ni washamba sn aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣we kondoo Uganda kuna roof tile maker mkubwa tuu Kajansi between Entebe and Kampala. Tanzania tile makers wako wengi hatuwezi nunu udongo from Ruiru utukome kabisa.
Unaongea hapa yet Dar is Slum port is full of Indians, ama unadhani hatujui Adani alileta hadi watchmen wahindi? That’s the reason wewe Kama watchman huwezipata kazi pale port.Sisi tuna wataalam wengi hakuna mgeni kuja kuchukua kazi labda zile ambazo ni za lazima na mara nyingi huwa wanatokea ulaya, America au Asia sio mvunja kuni aje achukue ajira kizembe zembe. Na kwa taarifa yako tulishaanza kampeni ya kuwatimua wageni hasa hawa wavunja kuni wa Africa including Kenyans, wote mtarudi kwenu mpambane na nchi yenu.
Sawasawa watchman. Happy now?I know it hurts but no way, you need to get used to it.