Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob 😀
Picha ni ya 90s hyo, si unajua Mwai Sadima Dickson a.k.a mwaiofhawaii ni wa kitambo, alienda US kama mkimbizi kutoka kakuma refugee camp, alijifanya mnyarwanda aliyekimbia mauaji ya Kimberly. Pale kakuma refugee camp kuna wakenya wapo registered kama wakimbizi na govt inajua.
 
Kbs, I wonder jamaa ni mshamba, katokea kama mzee wa miaka sabini anayeuendekeza uchekibob 😀
downloadfile-146.png

Hili zuzu ni kubwa jinga
 
mbona unaficha magorofa ya udongo na slums zilizozagaa mombasa yote 😂😂😂
Hizo slums zinaitwa aje? Hapo hata hakuna nyumba za kuishi brathe hio ni a big market area, kaa chini kwanza ufanye research kabla uje kujiaibisha hapa… kabla nikupe jina ya hio area nataka ufanye research uniambie ni slum gani hio
 
ww unaeza nidanganya nini labda kwa mfano?😂😂

ukitumwa modern city unaeza peleka mombasa?
 
Back
Top Bottom