Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,211
- 33,425
Jamaa huwa primitive sana😂😂.Nilitaka kumjibu hivi nikachoka nikaacha. Kuna watu kuwapa logic ninkuharibu wakati.🤣🤣
Wifi is just a new concept to these idiots.
Jamaa huwa primitive sana😂😂.Nilitaka kumjibu hivi nikachoka nikaacha. Kuna watu kuwapa logic ninkuharibu wakati.🤣🤣
You are primitive bwana.Sitombi magovi punguza shobo.
Another Convention Center with an indoor Arena, cost is $248M. ichoboy01 njoo utuambie na hii ni PPP ya nani, sababu unaumwa sana na projects za Kenya😂😂
View: https://x.com/StandardKenya/status/1911765153265115262
The structure was already demolished wewe mzee. The construction involves a new Cinference Center, Presidentail Pavilion and 5 Hotels.#Renovatiion# meaning upgrading tje existing dilapilated existing structure!
Nipatie jina la nyimbo yeyote ya msanii wenu mkubwa nikuonyeshe wapi views zake zinatoka. Bila wakenya hakuna wasanii Tanzania.Mimi nawashaangaaga sana wakenya wanavyosemaga eti wao ndio wapush wasaniii wetu views YouTube na na kwenye mitandao ya kijamii ilihali kiuhalisia mambo kama haya ndio yanadhihirisha 👆🏾👆🏾 ukweli sasa hapo watakumbia eti followers wengi wa tff ni wakenya
Kisha they go into a room and start counting the cash manually 😀Hawa ndio wale wanacollect pesa mingi kuliko timu zote za Tanzania.
Aone hii milioni 100 Tzs anayopewa bingwa Kenya au aone nn, yn bingwa NBC anapata over 3bn Tzs na hapo sio pesa za wadhamini wote 👇👇joshuan uliuliza how. Njoo uone.
🤣🤣🤣
Does that stop them from collecting more money than your two biggest clubs combined?Kisha they go into a room and start counting the cash manually 😀
Umeangea kama kondoo kumi.Which slum be this this? Perhaps it oView attachment 3304048ccupies almost half of the city,
A reason Nairobi hosts the Largest Slum in th Universe. as if that was not enough, in the list of top 10 largest Slums in the Universe, Nairobi alone got 5 prominent slums.
Kunyans , your reputation for having the largest and majority slums in the list all across the universe is Legend.
Hiyo canopy ya chini ni quality bora kuliko kasarani!
Bingwa Kenya anapewa prize ksh5m ambayo ni sawa na less than Tzs100m na bado huoni aibu 👇 👇joshuan uliuliza how. Njoo uone.
Bingwa Kenya anapewa ksh5m na bado anapanua mdomo kuongelea NBC, miongoni mwa ligi zenye prize money 💰 kubwa Africa 👇👇Ila huoni uwendawazimu alioandika ndugu yako! 😂😂😂