ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwa hivo hujui. Huna habari hata hio eneo inaitwa aje- kazi tu ni ku mark na red ukisema ni slums lakini Dar hakuna slums ๐ww unaeza nidanganya nini labda kwa mfano?๐๐
ukitumwa modern city unaeza peleka mombasa?
Mozzatbet cup siku hizi ni ligi yetu? Kubalini mmeshindwa bwana.siumeona ulivo mpumbavu unachukua FA cup vs ligi yenu ya kenya kwann usitafute NBC premier league vs ligi yenu ๐๐๐
Talanta ni mali ya serikali, ukitaka PPP nenda Yemen and look for one there.sisi tunajua talanta ni PPP na expressway ni PPP zote ni mali ya mchina baby๐๐๐
Hata Talanta pia ulisema hivo, saa hii bumebaki ukiimba PPP yenye haiko.asante kwa render ๐๐๐๐
kaangalie NBC premier league alaf mujifunze kutoka hapo ๐๐๐Mozzatbet cup siku hizi ni ligi yetu? Kubalini mmeshindwa bwana.
aliesaini mkatabata anakwambia ni PPP ww mbuzi kutoka kibera unasema sio PPP๐Talanta ni mali ya serikali, ukitaka PPP nenda Yemen and look for one there.
nilisema hamuna uwezo wakujenga kwa pesa zenu unless mchina ajenge iwe yake ๐Hata Talanta pia ulisema hivo, saa hii bumebaki ukiimba PPP yenye haiko.