ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,266
Unaumia ukiwa Tandale upande gani?mbona unaficha magorofa ya udongo na slums zilizozagaa mombasa yote 😂😂😂
Wewe watchman kama unaishi slum hapo Dar unadhani hayo ndio maisha ya kila mtu?Kama huipendi nenda kaivunje au kawaue hao 7m slum dwellers na uhame uhame huko kwenye ma slums, na uvunje ma slums yote yaliyotapakaa Kenya nzima.
Jinyonge basi 😂Kujitetea hakusaidii😂
Vipicha uchwara that are a million times better than your sprawling uswazi hovels with rotten iron sheetsView attachment 3304632
Govinda unajitia aibu tu na vipicha vyako uchwara
Ndio alivyosema ni 62k seats. The largest in the region. 🤣🤣🤣 jamaa watalia.Viti vipya 62K au nimesikia vibaya!
![]()
108K views · 4.1K reactions | Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea. | Gerson Msigwa
Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea.www.facebook.com
Kwa maana hiyo itakuwa sio 60k tena!Ndio alivyosema.
Vipicha uchwara that are a million times better than your sprawling uswazi hovels with rotten iron sheets
Ndio hivyo mkuu. Kwahiyo Mkapa is now the largest in the entire region.Kwa maana hiyo itakuwa sio 60k tena!
Sijinyongi😂Jinyonge basi 😂
Hii itasabisha comments za milio. 😂😂😂Ndio hivyo mkuu. Kwahiyo Mkapa is now the largest in the entire region.
Hii itasabisha comments za milio. 😂😂😂
mbona picha nusu nusu sasa 😂😂😂😂Unaumia ukiwa Tandale upande gani?View attachment 3305136View attachment 3305137View attachment 3305138
wapumzisheni hata kidogo jamani walau mchina amalize kujenga uwanja wake kenya 😂😂😂😂😂Viti vipya 62K au nimesikia vibaya!
![]()
108K views · 4.1K reactions | Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea. | Gerson Msigwa
Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam. Ufungaji wa viti, kazi inaendelea, ukarabati unaendelea.www.facebook.com