Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndio munavodanganywa hvo 😂😂😂
ushindi wenyewe wa kusuasua mpaka penalty watu wameshkilia roho zao wengine walizimia kabisa
Haah ankal usiharibu vibe yajayo yanafurahisha naona zungu semaji lenu limevuliwa nguo na toto Zaylisa! Anachafua sana image ya Yanga maana mnaonekana vilevile!
 
😂😂😂 Na English pia hawajui, caption kaandika immunity kwenye video anasema immbbbyyyuunite anamquote mtu anaesema impunity 😂😂😂 huyu acha wamuabduct tu


View: https://x.com/MaryKwamboks/status/1910922068406792419?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1910922068406792419%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_c10&ref_url=

Ila ukweli unapaswa kujua hiyo title ni gimmick imebidi kuficha kidogo direct attack kwa Ruto! Aliogopa legal implication! Japokuwa ameokotwa bila immunity! Haiku-work…🤣🤣
 
Biggest club in E. Africa was in Mombasa
1000004698.jpg
 
Nilidhani hii habari ingekutoa machozi lakini kwasababu ni mpumbavu unajichekesha. Hizi ndio zilikua bidhaa za kenya zenye utapatananazo kwenye shelves za maduka za bongo. But guess what.? They will no longer be there. Mnampoteza Mteja muhimu kabisa. You are done. 🤣🤣🤣
Kama superloaf ndio bado ziko in your shelves, mbona powdered milk ikose? Ama unasahau Kenya makes quality products than Tanzania?
 
Wanaimba nyimbo za clan rituals af mnasema ni football 😂😅 wanaita mizimu yao
Hamuezifikia Kenya in terms of football fan base, Kama kulipa tu ticket ya kuwatch ball inawashinda, traveling from Busia to Mombasa to watch a 90 minutes game mtaweza?
 
Mbona wapo wenyewe sasa? 😂😂😂 Na gatekeeper wakimaliza stadium ya watu ifungwe 😂
Celebrations ufanyika after people have left but how will you know when your country has never won any trophy? How will you know?
 
unafurahia kifo au sio 😂😂😂😂

watanzania wengi hawapendelei milk powder huku wengi wanakunywa maziwa fresh mfano mwanza unaletewa maziwa fresh mpaka nyumbani then unafkiri nani atakumbuka milk powder?
Basi Mbona umepost hiyo kampuni mpya ya milk powder? Ulikuwa unalala ukiipost ama?
 
Back
Top Bottom