Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,682
- 107,122
Kwahiyo Ukunyani tu madaraja yana thermal expansion na hukatika hivyo?Somo la thermal expansion ikifundishwa ulikuwa umefukuzwa school fee?
Kwahiyo Ukunyani tu madaraja yana thermal expansion na hukatika hivyo?Somo la thermal expansion ikifundishwa ulikuwa umefukuzwa school fee?
Those are not my words. Ni za mtanzania mwenzenu, wale wanaojielewaUnajua maana ya 'slums' wewe nyang'au?😁
Mpaka leo mmeshindwa japo kuchimba mitaro hii road ya chini, nyie ni fukara sn aloo, hichi kibarabara cha mchina mnakizungusha zungusha humu lkn mpk road yenu hata mitaro haina mbwa kweli kweli 👇👇Goodnight y'all., wachawi wa South leo laleni, mmeroga ya kutosha na haturogeki😜..,
View attachment 3300836
Ushawahi kusikia Dar ikitajwa kuhusu slums?Hazifikii slums zenu zilizotapakaa kila mahali View attachment 3300844
Kwahiyo hii ndiyo sababu ya wakenya kuwa na vichwa vya duara?
Umeongea na mihemko sana, just like most of you here do. First and foremost, how is Arusha stadium, a 30k-seater stadium taking a bigger surface area than a stadium with 60k seats? I mean how? 🤔 Explain to me like a two-year old coz I don't understand this logic.We are builiding two Stadiums 30K, uwanja wa Arusha unachukua eneo kubwa kuliko viwanja vyote viko Kenya.
Kwa project ya Serikali mlitakiwa mjenge Uwanja wenye viwango vya Olympic... Kenya hamna washabiki wa mpira wengi kujaza uwanja wenu, Kenya mnawanariadha wengi, that could be good value for money tena ingekuwa njia nzuri ya kujitangaza zaidi.
You need to learn and appriciate long term planning na Strategy za Tanzania.
We had money to build completely new Big Stadium in Dar es salaam with 70-100K seaters. Lakini tuna miji mingine muhimu,
Half of the Price tumepeleka Arusha ambayo ni moja ya biggest tourists destination, na Nyingine tumepeleka Dodoma ambayo ni Administrative capital.
First we attarct new Investors and opportunities, second kuna maisha baada ya AFCON miji mingine lazima ikue.
Why you don't build a stadium in Mombasa ambayo second important city hapo Kenya, hamna miundombinu au ni wizi watu wachache wanajitengenezea fursa
Analazimisha tuumie wkt cc tunajenga viwanja vyenye hadhi viwili na tayari tunacho kikubwa zaidi EA, hawa wanusa gundi wanaumia kuona kila walichonacho tunacho ila vingi tulivyonavyo hawana.How could we get hurt by a little project of less than $250M?
Hawana akili, na hawana plan for future, wao wanapenda cosmetic pasipo kufikiria ya mbeleni, nchi yao si football nation uwanja mkubwa wa nn? Walitaka kushindana na Tanzania, sasa angalia matumizi ya akili kati yetu na wao, cc tumejenga stadiums mpya Dar, Dom, Arusha na Zanzibar na zote zina hadhi ya ku accomodate michezo yote, hayo mambo ya football stadiums tumewaachia clubs ambazo nazo zimeanza kujenga viwanja vyao, hawa watu ni taifa la machizi kweli kweli.We are builiding two Stadiums 30K, uwanja wa Arusha unachukua eneo kubwa kuliko viwanja vyote viko Kenya.
Kwa project ya Serikali mlitakiwa mjenge Uwanja wenye viwango vya Olympic... Kenya hamna washabiki wa mpira wengi kujaza uwanja wenu, Kenya mnawanariadha wengi, that could be good value for money tena ingekuwa njia nzuri ya kujitangaza zaidi.
You need to learn and appriciate long term planning na Strategy za Tanzania.
We had money to build completely new Big Stadium in Dar es salaam with 70-100K seaters. Lakini tuna miji mingine muhimu,
Half of the Price tumepeleka Arusha ambayo ni moja ya biggest tourists destination, na Nyingine tumepeleka Dodoma ambayo ni Administrative capital.
First we attarct new Investors and opportunities, second kuna maisha baada ya AFCON miji mingine lazima ikue.
Why you don't build a stadium in Mombasa ambayo second important city hapo Kenya, hamna miundombinu au ni wizi watu wachache wanajitengenezea fursa
Nitajie infrastructure iliyopo Arusha ambayo haiko Mombasa. Unatutajia miundumbinu wakati uwanja wenyewe mnajenga msituni!Hiyo ni nchi ya Kenya ni Nairobi na Nairobi ni Kenya! Mombasa hamna supporting infrastructure!
Hawa wakenya ni wajinga sn, hawajui kwamba mall ni market.Ondoa upumbavu kichwani, market ni synonym ya mall pia the concept hapa ni kupata almost all daily consumables under one roof
View attachment 3301086
to spent iko wapi ushahidi kua kalipwa mkandarasi ? au ndio mushazoea kudanganywa na wanasiasa 😂😂😂😂😂😂
Umeingia kwenye mfumoNitajie infrastructure iliyopo Arusha ambayo haiko Mombasa. Unatutajia miundumbinu wakati uwanja wenyewe mnajenga msituni!
unless ww ujue zaidi kuliko waziri 😂😂
Ebu tuonyeshe penye GOK walisign PPP contract na Chinese company. Usilazimishe mambo wewe fala.
Hata hii bado ni Mathare slumView attachment 3301114
Tuwekee hapa hizo slums za dar ambayo inafanana na kama hii mathare paradise
huyu ndio waziri anaejua zaidi kuliko wewe
7km of roads to be built in Ilala and Upanga Dar es Salaam. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DIUDfSSJ2GV/?igsh=dDVxcnBocGZmdnhm.
Kwani iliyotajwa kwenye hiyo tweet ni Mumbai?Ushawahi kusikia Dar ikitajwa kuhusu slums?