ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Nyingine ndio hii hapa bongolalaKwahiyo Ukunyani tu madaraja yana thermal expansion na hukatika hivyo?
Kwa hivyo a conference center is part of infrastructure?🤔🤔🤔Umeingia kwenye mfumo
1. Arusha International Conference Centre
Tuwekee ya Mombasa tuone. Usikimbie
Arusha ni Switzerland of Africa
Naona sauti za ngoma zinabadilika polepole, kadri ya jua inavyokua Kali🤣🤣🤣🤣🤣unless uwe hujui maana ya PPP unafkiri na nyie hamutoi pesa kuna its either inaeza kua china 90% to kenya 10% au china80% to kenya 20%
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kasome kwanza maana ya PPP mbuzi wewe alaf rudi hapa tuzungumze😂😂😂Naona sauti za ngoma zinabadilika polepole, kadri ya jua inavyokua Kali🤣🤣🤣🤣🤣
safari ya ufaransa ilijaa uongo uliotukuka kutoka kwa kasongo 😂😂😂😂😂😂
yani wakenya wanapenda kudanganywa kuliko kuambiwa ukweli
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1910880550501650642?s=46
Wamepeana vitengo, kuna mmoja kapewa kitengo cha kulazimisha slums ziwepo Tanzania, yaani nyumba za full bati! 😂😂😂Wapo serious kweli kweli, wakati sisi tunawaenjoy tu 🤣🤣🤣🤣🤣
PPP ya kugawana percentages 🤣🤣🤣🤣kasome kwanza maana ya PPP mbuzi wewe alaf rudi hapa tuzungumze😂😂😂
leo imekua unfavourable contracts wakat mulikua mukishangilia hapa 😂😂😂When Kenya cancels unfavorable contracts tunadanganywa. When Tanzania cancels such deals like it did Bwagamoyo port, ni kwa ajili ya taifa. Mibongolala mnatia huruma jameni 😂😂😂
Acha kujiaibisha 😀 😀 😀 Tunajua elimu yenu ipo chini ya kiwango but tunaficha hii aibu ya East AfricaKwa hivyo a conference center is part of infrastructure?🤔🤔🤔
Hii ulifundishwa wapi bongolala?
Kwa hiyo?😁Those are not my words. Ni za mtanzania mwenzenu, wale wanaojielewa
huna akili wewe kwenye ku fund project ni lazma washirikiane wote ndio maana inaitwa PPP mbuzi wewe😂😂😂😂PPP ya kugawana percentages 🤣🤣🤣🤣
Tunawabonda wote kwa pamojaWamepeana vitengo, kuna mmoja kapewa kitengo cha kulazimisha slums ziwepo Tanzania, yaani nyumba za full bati! 😂😂😂
wameshtuka wenzako wanaakili sio nyinyi kazi yenu kushikiwa akili kwa uwongo😂😂Twitter warriors
When you signed Bwagamoyo port umesahau you people posted it here a million times a day? Kweli nyani haoni kundule!leo imekua unfavourable contracts wakat mulikua mukishangilia hapa 😂😂😂
niliwaambia kasongo anawadanganya yani jamaa anajua kuwatandika😂😂
Kwa hivyo jinyonge 😂😂Kwa hiyo?😁