Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,946
Unaumia ukiwa wapi?ww ni hayawani kweli kwani ikiwa PPP ndio thamani haijulikani ??😂😂😂
leta ushahidi kua mumefanya malipo kwa mkandarasi mm nafunga acc forever😂
kwan nairobi expreassway ilipokua inajengwa hamkujua inajengwa kwa bei gani??
wakat mwengine unalazmisha vitu havipo ndio maana huoni hata wenzako wakiku support kwasababu wanajua ukwel😂😂