We are builiding two Stadiums 30K, uwanja wa Arusha unachukua eneo kubwa kuliko viwanja vyote viko Kenya.
Kwa project ya Serikali mlitakiwa mjenge Uwanja wenye viwango vya Olympic... Kenya hamna washabiki wa mpira wengi kujaza uwanja wenu, Kenya mnawanariadha wengi, that could be good value for money tena ingekuwa njia nzuri ya kujitangaza zaidi.
You need to learn and appriciate long term planning na Strategy za Tanzania.
We had money to build completely new Big Stadium in Dar es salaam with 70-100K seaters. Lakini tuna miji mingine muhimu,
Half of the Price tumepeleka Arusha ambayo ni moja ya biggest tourists destination, na Nyingine tumepeleka Dodoma ambayo ni Administrative capital.
First we attarct new Investors and opportunities, second kuna maisha baada ya AFCON miji mingine lazima ikue.
Why you don't build a stadium in Mombasa ambayo second important city hapo Kenya, hamna miundombinu au ni wizi watu wachache wanajitengenezea fursa