Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So siku hizi PPP ulipwe na GOK? Wewe ushakuwa confused😂😂
Without the help from daddy china 👇View attachment 3300059

Mnabishana na serikali yenu kwenye kila data msioipenda, so far painful information and data mnazozichukia from your government ni hizi

View: https://x.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=gIvNu0mmbkYwxaXK7kw_4w&s=19
Screenshot_20250407-171446.jpg
 
Mnabishana na serikali yenu kwenye kila data msioipenda, so far painful information and data mnazozichukia from your government ni hizi

View: https://x.com/NationAfrica/status/1765302835229392935?t=gIvNu0mmbkYwxaXK7kw_4w&s=19
View attachment 3300069

Acha kutoroka mada. By the way, hata Kama ni PPP inakusaidia na nini wewe mtanzania? Vile unalazimisha mtu anaezathani ni huko na shares kwa hiyo Chinese Company😂🤣.

Anyway umia pole pole.

View: https://x.com/money254HQ/status/1910593315877036078
 
Back
Top Bottom