The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Nilikuwa namuonea huruma Rhaenyra Targaryen a.k.a Nduta ila kwa sasa naona anyongwe tu mana hawa mbwa wako aggressive sn kwenye pesa mpaka imepitiliza, wamejaa kibao duniani wanafanya biashara haram, wauwawe tu.