ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,865
GTC MALL, OFFICE,HOTEL & APARTMENTS
Which football metrics rank football clubs based on social media following 😂
Ukiachana na metrics, hujui faida ya timu kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii?Which football metrics rank football clubs based on social media following 😂
😂😂 sema tu hapo ndo fikra zimefikaUkiachana na metrics, hujui faida ya timu kuwa na followers wengi kwenye mitandao ya kijamii?
Hujui followers wengi huvutia sponsors?
Ila nyie wakenya Mnajua sifa Tu ila uhalisia Mpo nyuma SanaWhich football metrics rank football clubs based on social media following 😂
Yaani Zuwenna nani kakudanganya kwamba kuwepo na internet users wengi itamaanisha kuwa wote ni mafan wa football na instagram at the same time?Ila nyie wakenya Mnajua sifa Tu ila uhalisia Mpo nyuma Sana
Mnasema Mna watumiaji wengi wa Internet lakini Ukija kwenye Uhalisia Mbona mnakuwa mbali kwa Tanzania
Yaani Club Kubwa Kenya Ina 59K !!
Hata Mashujaa ya Mwaka Juzi inawazidi 248K
Ukija Youtube mpo Nyuma
7 Milion kwa 59K
Wewe kilaza yafaa mtushukuru kwa kuwajuza kwamba the tariffs were imposed on almost every country worldwide, Tanganyika included, something that you didn't knowKwanza futa picha ya Kampala mpuuzi wewe.
Kilaza hata hajui kwamba siku hizi likes na followers hununuliwa. He thinks every like or follower is a legitimate one. Smh!Yaani Zuwenna nani kakudanganya kwamba kuwepo na internet users wengi itamaanisha kuwa wote ni mafan wa football na instagram at the same time?
Kwahyo simba kanunua followers.? 🤣🤣🤣Kilaza hata hajui kwamba siku hizi likes na followers hununuliwa. He thinks every like or follower is a legitimate one. Smh!
What makes you think that's not a possibility when it happens world over? Ama hata huna habari likes na followers on hununuliwa?Kwahyo simba kanunua followers.? 🤣🤣🤣
Acha ufala na chuki zisizo sababu.. watanzania ni watu wamitandao na ndio maana unaona watu wetu maarufu wako na followers wengi kuliko watu wenu marufu au medias, hii inaonyesha internet access ya bongo is bigger than anywhere in EA.What makes you think that's not a possibility when it happens world over? Ama hata huna habari likes na followers on hununuliwa?
hawa ndio wanashindan na derby ya simba na yanga inayo generate over 25m ksh😂
View: https://x.com/teyakevin/status/1907698248145412171?s=46