ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,308
- 163,978
kwani hao kina ronaldo na messi sindio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi je ni raia wa hzo nchi? ww unautoto sana😂😂Mnaringa na kulipa foreigners more money than locals 😂
kwani hao kina ronaldo na messi sindio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi je ni raia wa hzo nchi? ww unautoto sana😂😂Mnaringa na kulipa foreigners more money than locals 😂
Tell us about Yemen.kwani hao kina ronaldo na messi sindio wanaongoza kwa kulipwa pesa nyingi je ni raia wa hzo nchi? ww unautoto sana😂😂
inauma nichomoe??😂😂😂Tell us about Yemen.
Yet it’s only a Kenyan team that has ever won a continental trophy. Nyinyi mko na kelele tu with nothing to show. Unatuonyesha social media followers as social media ndio inacheza mpira, by the way, when last did any Tanzanian team Gor Mahia?
Uwezo wa kifedha, ukubwa na ubora wa ligi.Mnaringa na kulipa foreigners more money than locals 😂
So it’s from being known to playing in it? Indeed you have a low IQ.
Kwanza futa picha ya Kampala mpuuzi wewe.The guy thinks this tariff is limited to Kenya only wakati hata nchi yake imeathirika. Nakuambia hawa vilaza ni wajinga sana
na yet hua munajisifu munaongoza na kwa internet users 😂😂😂😂Yet it’s only a Kenyan team that has ever won a continental trophy. Nyinyi mko na kelele tu with nothing to show. Unatuonyesha social media followers as social media ndio inacheza mpira, by the way, when last did any Tanzanian team Gor Mahia?
Leo FIFA wametoa ranking tena, bado Tanzania ipo juu yenu. 😂😂😂Mnavyosherehekea mtu hawezi jua juzi tu mmekuwa mkiiponda FIFA ranking eti Iko corrupt na haileti hali halisia ya mambo yalivyo. Natumia mtaendelea kuiamini FIFA hata tutakapowashinda tena which is sooner than you think. Mnakuwanga na kasumba ya kutokubali statistics zinapowaonyesha kuwa nyuma ya Kenya.