buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
wow 😂😂😂😂 sick country inapigwa bomba kila kona
View: https://x.com/moneyacademyke/status/1907374610955280456?s=46
Ila Mtanzania Lake Oil, Taifa Gas wanajikuta kama wanaipenda nchi yao.
Imagine wapo radhi kumpa hata mzungu bure.
Wapo huku wanasema Azam anaipa club pesa ndogo with report ya 2023 huku hawataki kununua decoder.
Hata ubongo haujatahiriwa nini.
#TOHARANIHAKIYAKOOO
NGARIBA HAOGOPI MKOJO.