Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe hata Mwanza mwendo ni wa slums tu, kama ilivyo kakake mkubwa Dar😂😂😂
images - 2025-04-03T094324.206.jpeg
 
Shoga ni yule anayesumbuliwa na jinsi mjulubeng wa mwanaume mwenzake unavyokaa. Mambo ya sehemu nyeti za wanaume achie wanawake wadiscus.

Sisi hatufanyi kwa sababu wazungu wanafanya ndio maana sijakwambia usifanye. Nyie ndio mnaofanya kwa sababu mzungu anafanya. The point is, Kuna kabila ambazonkutahiri ni tamaduni zao na kunazo ambazo kutahiri sii tamaduni zao. Sasa nyinyi maVumbistan mnajaribu kuforce kabila ambazo kutahiri sii tamaduni zao kisa mmesoma kwa Biblia ya Mzungu ama Quran ya Mwarabu. Alafu umesema vizuri unajivunia kutahiri kwa sababu ni tamaduni ya kabila YAKO then unaendelea kumbeza mwengine ambaye sio utamaduni wake. Ndio maana nikakwambia Kunao ambao hawajatahiri na wameendelea kumshinda ndio uone hilo jambo la kusema eti kutotahiri ni ujinga ni la kijinga sana. Dunia nzima waliotahiri ni wachache kulio wasiotahiri. Wacha watu waishi wanavyotaka.
We Ni Govi kumbe.

Imagine kutetea mkono wa Sweta.

Njoo huku ukryani we bado mvulana sio mwanaume.

Hebu mzee pitia huku border ya Sirari.nikupeleke kwa Ngariba.
 
Back
Top Bottom